Mbeya kila kitu kipo at extreme.
Jua la Mbeya linachoma kwelikweli lakini hakuna joto.
Hewa yake Haina unyevu unyevu ni Ile hewa kavu.
Hata mvua huku ilianza, ni Ile mvua bandika bandua.
Baridi ya Mbeya ni ile Kali inayoumiza mpaka mifupa, yaani ukitoka dar kuja Mbeya lazima ubabuke kuanzia Ngozi ya uso mpaka mdomo. Yaani ukiingia toka dar tunajua Mwana umetika bongo, Sasa karibu uungue.
Kuna kitu naona hujakigusia, huku Ndevu kwa Wanawake ni jambo la kawaida yaani unakuta mtoto Mungu amemjaalia mashaallah Tako Hilo, kifua hicho ila kidevu kimejaa ndevu na kifua.
Huku makalio kila mwanamke anayo sio issue yaani hakuna pasi kama ukanda wa Mashariki.
Huku ni kujichubua tu, bila hivyo awe Mnyakyusa, Msafwa, Mmalila na Msangu wote ni weusi tii, tena weusi wao ni ule wa kufubaa tofauti na Iringa.
Matumbo, huku Wanawake ni ufahari kufuga tumbo yaani akiwa na uwezo vile vitenge vya Kongo kinazungushwa mara moja.
Nawakumbusha Wana maumbo makubwa na nguvu hivyo ukiwa lonyolonyo utadharirika brother.
Umalaya yaani akikutambulisha huyu ni Mkaka gwangu Kaa chonjo ujue mtu ataliwa kimasikhara muda wowote.
Wanawake wa Mbeya wanajishughulisha na kumlisha Mwanaume ni ufahari.
Kupendwa kwa Wanaume kutoka maeneo mengine kwa sababu wanaoa haraka, wanaume wa huku wanawakimbia.
Wana tabia ya kukatalia ndani, kumbuka ni Bora umpeleke guest kuliko ghetto kwako hata kama unapiga kimasikhara.
Wanampenda Mungu sawasawa na ulozi yaani kiwango Cha Mungu na Shetani vinafanana.
Ogopa Nondo hasa mjini, huku hakuna Ngeta au roba ya Mbao.
Wanakupiga Nondo ukafie mbele na kesho Biashara zinachangamka.
Joto la mbeya,Njombe linafifisha, na ndilo Jiji lenye baridi Kali zaidi Tanzania.
Ila yapo maeneo yenye baridi Kali zaidi ndani ya Mkoa wa Mbeya kuliko mjini, maeneo kama Isyonje, Kawetere, Igoma na Tukuyu ambayo ni ukanda mmoja na Makete.