Kwanini Mbeya licha ya kuwa namba 3 kwa kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa stendi ya Kisasa?

Bashe alifanya jambo la manaa sana. Kila kipande mnataka kujenga. Acheni sehemu ya mji kupumua. Eti mji wa kisasa!!
 
Mwanza Ina stand 2,Mwanza Ina masoko 2 na jingine la samaki linakuja,Mwanza imependelewa ujenzi wa Barabara za tactic km 27 Kwa visingizio vya Kuwa na Manispaa wakati Mbeya licha ya mavumbi Kila Kona ila Imepata km 12 tuu?
Unalalamika nini wakati hii serikali inaongozwa na chama cha mafisadi
 
Hii barabara inayotengenezwa hapa igawa kuelekea rujewa naona ni kajanja za CCM zimefanywa ili kumrahisishia huyu mwanamama aliyekuwa anagombea ubunge wilaya ya mbarali kupita kirahisi.
 
Hii barabara inayotengenezwa hapa igawa kuelekea rujewa naona ni kajanja za CCM zimefanywa ili kumrahisishia huyu mwanamama aliyekuwa anagombea ubunge wilaya ya mbarali kupita kirahisi.
Mbeya bhana huwa mnajitutumua kujilinganisha na Mwanza! Wakati TACTIC mmepata 12 kilometers wakati mwanza 27 kilometers!
 
Kwako ni point less! Ila ukweli ndio huo mji wenu hauna hata mvuto ni mrundikano wa majumba ya tope! Sasa hapa unamlilia nani? Mwambie Tulia akusaidie!
Akili yako ndogo ndo inakuambia kuwa kila anayetoa maoni hapa kuhusu mbeya basi ni mkazi wa mbeya???
 
Kwan nane nane sio stendi?
 
Mbeya ni Kijiji kikubwa. Imagine ukienda Uyole ya Kati unakutana na li-bustani likuubwa la maviazi na nyanya. Why wasigawe viwanja watu wajenge?
 
Mbeya ni Kijiji kikubwa. Imagine ukienda Uyole ya Kati unakutana na li-bustani likuubwa la maviazi na nyanya. Why wasigawe viwanja watu wajenge?
Hahahahah! Mimi kusema kweli hata huwa sielewi nini uzuri wa Mbeya ukiondoa hali ya hewa na mazingira ila kwenye miundo mbinu na ujenzi ni zero!
 
Waulize wapangaji sera wanampango gani
 
Kabisa. Nilijua lile eneo la shamba la uyole tayari liko mbioni kulifanya mji wa kisasa?. Tena ingependeza sana ksbb ni kubwa halafu liko usoni kabisa mwa mji. (Labda kweli wavutr subira kidogo na mimi nipate hela wakifikia kubinafsisha hapo na mimi niwe sehemu ya kukaba eneo hapo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…