Rombo ipi hiyo Kitimoto, Tsh 5000???Kitimoto kilo 8000 gharama sana huko, nipo rombo huku nimeshangaa kitimoto kilo 5000 ndizi bure tu
Rombo Kwa masaweroadRombo ipi hiyo Kitimoto, Tsh 5000???
Hapa keniRombo ipi hiyo Kitimoto, Tsh 5000???
Rombo Kwa masaweroad
Keni ipi?Hapa keni
Mi sio mwenyeji wa huku ila mkuu ipo mbele kidogoKeni ipi?
Keni Mashati, Keni Mkuu?
Nimeshangaa,wakati uyole hapa ni buku 7Kitimoto kilo 8000 gharama sana huko, nipo rombo huku nimeshangaa kitimoto kilo 5000 ndizi bure tu
Ukilinganisha na Dar huko kuna nafuu, sijui mzunguko wa pesa ukoje ila bidhaa walau ziko chini kidogo, kuna sehemu hapa dar mchele ni 3,500, nyama 9,000, maharage 4,000 nk. Kifupi maisha yapo juu sana.Hizo gharama ni ndogo ukikinganisha na wapi, maana Mimi naona siyo ndogo.
Keni Kituo Cha Afya?Mi sio mwenyeji wa huku ila mkuu ipo mbele kidogo
KabisaKama kweli hizo ndio bei halisi, basi nadhani kuna haja ya kuangalia tena wapi panafaa mtu kuweka makazi yake kwa sasa.
Kwa hali ilivyo sasa, elfu kumi(10,000) ya kitanzania haina thamani hata kidogo ukienda nayo sokoni/dukani.
Of course, huwezi kulinganisha Dar na Mbeya.Ukilinganisha na Dar huko kuna nafuu, sijui mzunguko wa pesa ukoje ila bidhaa walau ziko chini kidogo, kuna sehemu hapa dar mchele ni 3,500, nyama 9,000, maharage 4,000 nk. Kifupi maisha yapo juu sana.
Dodoma, Kitimoto Tsh ngapi?Dar,Arusha na Dodoma