Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

Niko mbeya nashangaa shangaa
Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/=
Kitimoto kilo ni 8000/=
Mchele kilo ni 2000/=
Mafutq ya kupikia lita 5 ni 23,000/=
Maharage kilo ni 2500/=
Ndizi mkungu ni elfu 5 tu.
Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu.
Hiki kitu kimenishangaza sana wakuu,hawa jamaa wana serikali yao tofauti na hii ya ndugu Samia?
Kitimoto gharama sana, yaani ukienda Mbinga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nyama 9,000
Mixing na kifupa

Nyama stake sio 9000 mkuu weka double ya hio 9000 na hapo ndio unakua umekula nyama hio 9000 unakua umekula chakula cha Mbwa nyama kidogo mifupa mingi alafu inapimwa uzito kwenye mzani, mara 100 nile Samaki au Stake sio nyama iliyojazwa mofupa
 
Ni kweli 10,000 kwa sasa sio hela tena. Nina wasiwasi huu mfumuko ukiendelea na thamani ya pesa kuzidi kushuka tutapewa noti ya 20,000.
Si mlikuwa mnashangilia eti mmrpandishiwa mishahara?
 
Niko mbeya nashangaa shangaa
Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/=
Kitimoto kilo ni 8000/=
Mchele kilo ni 2000/=
Mafutq ya kupikia lita 5 ni 23,000/=
Maharage kilo ni 2500/=
Ndizi mkungu ni elfu 5 tu.
Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu.
Hiki kitu kimenishangaza sana wakuu,hawa jamaa wana serikali yao tofauti na hii ya ndugu Samia?
Iringa kitimoto kilo 6,000/=
Maharage kilo 1800/=
 
Mkuu mleta mada usiandike andike hovyo hizi habari ni Siri. Utafanya wauzaji wasome Uzi wako wapandishe Bei....
 
Niko mbeya nashangaa shangaa
Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/=
Kitimoto kilo ni 8000/=
Mchele kilo ni 2000/=
Mafutq ya kupikia lita 5 ni 23,000/=
Maharage kilo ni 2500/=
Ndizi mkungu ni elfu 5 tu.
Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu.
Hiki kitu kimenishangaza sana wakuu,hawa jamaa wana serikali yao tofauti na hii ya ndugu Samia?
Upo mbeya sehemu gani mkuu?
 
Ukilinganisha na Dar huko kuna nafuu, sijui mzunguko wa pesa ukoje ila bidhaa walau ziko chini kidogo, kuna sehemu hapa dar mchele ni 3,500, nyama 9,000, maharage 4,000 nk. Kifupi maisha yapo juu sana.
Sasa dar Kuna mashamba!?
 
Ruvuma kwetu maisha ndo simple kabisaa km tunanawa vileee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom