To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Karibu sanaUyole my home land nimepamis sanaa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sanaUyole my home land nimepamis sanaa mkuu
Kama umekula kitimoto kilo Kwa elfu tano na km ni pale Keni kuelekea sokoni mwika basi umekula kibudu.....hakuna gharama hiyo pale KeniMi sio mwenyeji wa huku ila mkuu ipo mbele kidogo
Sisi wana mbeya hapo tunasema vitu vimepanda bei bado, sasa fikiria kabla ya kupanda bei zilikuajeNiko Mbeya nashangaa shangaa
Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/=
Kitimoto kilo ni 8000/=
Mchele kilo ni 2000/=
Mafutq ya kupikia lita 5 ni 23,000/=
Maharage kilo ni 2500/=
Ndizi mkungu ni elfu 5 tu.
Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu.
Hiki kitu kimenishangaza sana wakuu,hawa jamaa wana serikali yao tofauti na hii ya ndugu Samia?
mwaka huu mchele umepata uwa klo 1000 kwa 1500 mchele mzuli nyama ya ng,ombe hainaga bei sasa wanakula sana nguluwe viazi mvilingo vinalimwa huko magimbi mahindi maharagwe yanatoka sumbawanga mwanjelwa mala nyingi uuzwa 1000 kwa kilo bei hizi haihusiani na serikali mazao ya mkulimu ujipandisha na kujishusha kutegemea na hali ya mvuaNiko Mbeya nashangaa shangaa
Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/=
Kitimoto kilo ni 8000/=
Mchele kilo ni 2000/=
Mafutq ya kupikia lita 5 ni 23,000/=
Maharage kilo ni 2500/=
Ndizi mkungu ni elfu 5 tu.
Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu.
Hiki kitu kimenishangaza sana wakuu,hawa jamaa wana serikali yao tofauti na hii ya ndugu Samia?
Ukilinganisha na wapi na bei gani?Niko Mbeya nashangaa shangaa
Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/=
Kitimoto kilo ni 8000/=
Mchele kilo ni 2000/=
Mafutq ya kupikia lita 5 ni 23,000/=
Maharage kilo ni 2500/=
Ndizi mkungu ni elfu 5 tu.
Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu.
Hiki kitu kimenishangaza sana wakuu,hawa jamaa wana serikali yao tofauti na hii ya ndugu Samia?
Kwa nini haujui kiswahili kwa umri wako?mwaka huu mchele umepata uwa klo 1000 kwa 1500 mchele mzuli nyama ya ng,ombe hainaga bei sasa wanakula sana nguluwe viazi mvilingo vinalimwa huko magimbi mahindi maharagwe yanatoka sumbawanga mwanjelwa mala nyingi uuzwa 1000 kwa kilo bei hizi haihusiani na serikali mazao ya mkulimu ujipandisha na kujishusha kutegemea na hali ya mvua
Karibu na wwKaribu sana
Faida ya kuu ya kukaa Mbeya,maisha ni rahisi kwenye hupatikanaji basic human needs chakula,nguo na malazi.mtu mmoja anipe hasara za kuwa mbeya na aongeze faida nipimishe kama nihamie au vipi
sehemu gani iringaIringa kitimoto kilo 6,000/=
Maharage kilo 1800/=
Kweli kabisa kuzuli sanaaaSanaa
Mbeya hakuna mzunguko mzuri wa pesa pamoja na kuwa expenses za maisha zipo chini.mtu mmoja anipe hasara za kuwa mbeya na aongeze faida nipimishe kama nihamie au vipi
Ikifika Mbeya siku za mwanzo utateseka sana hadi uzoee hizo churaMadem wa kinyakyusa wana chura bana
Ova
ngoja niweke mentality ya wilaya flani hivi 😄Faida ya kuu ya kukaa Mbeya,maisha ni rahisi kwenye hupatikanaji basic human needs chakula,nguo na malazi.
Hasara kuu ya kule kupata pesa ndo mtihan kama umeajiriwa ndo usubiri mwisho wa mwezi,unless uwe mfanya biashara.
Then usiende na mentality ya kwamba unaenda kwenye Jiji kubwa,utakuwa disappointed,ukisikia wasanii kwenye nyimbo nazo wanavyosema "Mbeya city stand up" unaweza dhani ni bonge la jiji limechangamka kama nini vile kumbe wap.
Ntakuja december mana staki vumbi, nitakaa kwa miezi mi3 ya majaribio..Mbeya hakuna mzunguko mzuri wa pesa pamoja na kuwa expenses za maisha zipo chini.
biashara nyingi zinategemea wanachuo so vyuo vikifungwa biashara nyingi hazitembei.. i can say 50% ya population ya mbeya mjini ni wanachuo.
Pia kuna kitu kinaitwa baridi, nais ndo sababu ya mkoa kuongoza kitaifa kwenye suala la maambukizi ya VVU. Mbeya kulala peke yako usiku ni mtiani
Kuna vumbi la hatari kuanzia mwezi wa 8 mpaka mwezi wa 11, utapachukia Mbeya hio miezi.
Faida
Gharama za kuishi Mbeya zipo chini
Usafiri uhakika.. bajaji za kutosha kuliko watu.
kwenda Mikoani unasafiri hata usiku bila shida yoyote, kuna magari pale Uyole na stendi ya nanenane.
Vyakula kule ndo vinalimwa..wanavuna kila siku
Nenda Mbalizi sokoni au Nzovwe ndipo wakulima wanauza bidhaa zao kwa bei sawa na bure
Usiende Soweto au Mwanjelwa bei zao zipo juu kidogo.
Starehe zipo sana tena pesa haziishi kama apa Dar
Kuna Bar kama Mwailubi, Mwamunyange, City Pub, Polos, Nasoma, Mbeya pazuri na baadhi ya hotels za gharama nafuu kama ni mtu wa kujichanganya kama Usungilo, Modern Highlands, Desderia, Peace of Mind, Beaco Resort n.k
Sehemu za kukaa ni Forest Mpya, Isyesye, Veta, Block T, Iwambi.. usikae maeneo ya wanachuo kuna wizi sana.
Kama ni Mfanyabiashara unaweza kwenda kuanzisha moja ya hizi Biashara maana ni chache sana af wafanyabiashara wengi wa Mbeya hawajui Biashara in terms of customer care and creativity
Biashara ya kuuza nyama [ Butchery ]
Mfano Soko zima la kabwe hakuna Bucha la Kitimoto mpaka mtu utembee hadi Juakali - Mwanjelwa
Pharmacy / duka la Dawa
Izo huduma zinapatikana Maeneo ya Hospitali tu kama Maranatha na Kabwe Sokoni [ in short maduka ya dawa yapo along Tanzam Road tena ni machache hayafiki matano]
Biashara ya urembo wa kucha maeneo ya vyuo.
Mpaka sasa kuna jamaa mmoja tu pale Soweto ndo anasifika kwenye hiyo fani sehemu zingine zote ndo biashara zinaanzishwa wengi bado ni amateurs.
Mwisho ni Biashara ya kuuza simu.
Simu ambazo ni tofauti na Tecno na Infinix ambazo zinauzwa pale kwa Kwa Mtawa - Ilomba zina bei karibia mara dufu ya bei za Dar.
Ukitaka kununua Samsung au iPhone iwe ni used au mpya kwa Mbeya mpaka uwe vizuri mfukoni.
The choice is yours
Kama kuna nilichokisahau kinachoitaji ufafanuzi please inform me ntakufafanulia