Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

Kama kweli hizo ndio bei halisi, basi nadhani kuna haja ya kuangalia tena wapi panafaa mtu kuweka makazi yake kwa sasa.

Kwa hali ilivyo sasa, elfu kumi(10,000) ya kitanzania haina thamani hata kidogo ukienda nayo sokoni/dukani.
Nimenunua miswaki miwili.
COlgate ya kina junia
Na toopick kikopo kimoja eti 10,300 haki niliiangalia ile risiti na kuanza kupiga mahesabu upya.
 
Nimenunua miswaki miwili.
COlgate ya kina junia
Na toopick kikopo kimoja eti 10,300 haki niliiangalia ile risiti na kuanza kupiga mahesabu upya.
Ni kweli 10,000 kwa sasa sio hela tena. Nina wasiwasi huu mfumuko ukiendelea na thamani ya pesa kuzidi kushuka tutapewa noti ya 20,000.
 
Ww muongo bana mchele mbeya ni 2700
 
Kama kweli hizo ndio bei halisi, basi nadhani kuna haja ya kuangalia tena wapi panafaa mtu kuweka makazi yake kwa sasa.

Kwa hali ilivyo sasa, elfu kumi(10,000) ya kitanzania haina thamani hata kidogo ukienda nayo sokoni/dukani.
10000 ni 2000 ya zaman iliyo changamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…