Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Masaki sasa hivi ni sehemu ya maofisi zaidi na kula bata kwa sasa pia ni kama Posta ya miaka ile.
Wanaoishi Masaki sasa hivi ni wale wanaulipizia kisasi umasikini waliouishi enzi za makuzi yao, wengine ni Makuwadi wa wanawake wa kibongo kwa watu matajiri na watu mashuhuri wa nje ya nchi.
Pia, ndiyo wanapokaa Madon wa wale jamaa walio left magroup yao, wanaopatikana kwa wingi Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Kariakoo fire na Sinza.
Sasa hivi Mbweni, Goba na Madale ndiyo the talk
 
Ulikuwa ni ushamba na ulimbukeni
 
Kwel Mbweni imejengwa sana, nasikia hadi namba 1 wa taifa ana mjengo wake wa ajabu huko Mbweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…