uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Ok mkuu nimekuelewa. Lakini kwa leo nazungumzia umaarufu. Namaanisha kwa sasa ukitaja neno Mbezi bila kuweka neno beach au luis basi eneo la kwanza litakaliwajia watu kichwani ni mbezi luis.
Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya 2000 kushuka chini, ambapo, 85% ya wakazi wa Dar kutokana katika wilaya zingine (mbali na hii ya sasa inayoitwa Ubungo) hawakuwa wanaifahamu au pengine kuijua Mbezi luis.
Sahihi