Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?


Sahihi
 
Inasikitisha sana kuona maeneo mazuri kama Mbezi beach badala ya kuboreshwa na kuendelezwa, yanatelekezwa, yanapuuzwa, yanachakarishwa na kuachwa yajifie tu na kugeuka Buguruni mpya.
 
Hata stand nako si kulikuwa pori vile vile mkuu. Ila Mbezi beach ilianza kujulikana kabla ya Mbezi kimara. Lakini leo hii watu wengi hawaifahamu Mbezi beach.
Mbezi inajulikana mzee sema wahamiaji huko walihamia kimyakimya...
Mashuwa wengi waliyokuwa wanakaa upangaa wengi walihamiaga huko mbezi beach miaka hiyo
Kimara ilipendwa sana na watu kutoka kaskazini maana ile ndy ilikuwa njia yao ya kwenda na kutokea kwao
Miaka ya zamani ukienda au kupita mbezi beach yenyewe ilikuwa mtihani

Ova
 
MbeZi beach zamani mashuwa ulikuwa unawahesabu nyumba zao
Kwanza kulikuwa na ujambaz uporaji
Umafia wote huko
Mbezi beach sahv eti kumekucha malls,maduka nk
Mashuwa wengi waliyokuwa upanga wao ndy walikuwa watu wa kwanza kuhamia huko
Siku hizi ukitaka starehe unaenda mbezi beach [emoji1]

Ova
 
FWalijaa sana wamokonde na wapo ununio
Na wamakonde ndiyo watu waliyoweza kuanza kukaa kwenye maeneo mengi ambayo yalikuja kuwa hot...sema walishindwa kudumu huko
Hata msasani peninsula wamakonde kote walijaaa huko

Ova
Wamakonde wao walikuwa wanatega maeneo ambayo kuna ngozi nyeupe.
Wanapiga kazi za ulinzi , kuanzia msasani, kunduchi mpaka Ras Kilomoni walikuwa wamakonde wamejaa.
Alafu walikuwa wanalinda nyumba kwa mishale, ukijichanganya tu unapigwa mshale wa shingo.
 
Kweli kabisa
Bora ht salasala naona kiasi fulani Kuko vzr
 
Aisee.. kumbe ilikuwa balaa!
 
Sema mmakonde akikuchungia nyumba ukimuachia nyumba nzima
Usipokuwa makini unaweza kuisahau
[emoji1] (joking)
Yah hata nyumba nyingi za national housing zilizoj3ngwa na nyerere
Wanyasa walizipata walipewa mtonyo
Na mabosi zao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…