KWANINI MBILIKIMO WENGI WANAFANANA?

... unaowaita mbilikimo, sio wale halisi wa Congo, ni walemavu ambao kwa mapungufu fulani ya kijenetiki wamekuwa wafupi, wenye vidole vifupi, macho makubwa na maumbile mengi yasiyo ya kawaida yanayowafanya wafanane! ... ukichunguza kwa karibu bado unaweza kuona tofauti zao!
NB: ... samahani kama kuna mtu nimemkwaza, ninatoa tu nilichosoma!
 
Exactly!
Sijui ni kwa nini tena siyo mbilikimo pekee bali kuna albino wengi wao wanafanana

Pia wasomali, wahabeshi, wachina, nk (kwa ujumla watu wote tofauti na watu weusi) nao wananichanganyaga sana kwa kufanana kwao
Nilikua na rafiki yangu wa kizungu akaniambia eti na sisi watu weusi tunafana sana hadi wanashindwa kututofautisha, akanipa mfano eti mimi nafanana sana na 50cent,nilishangaa sana kama kweli nina sura ngumu kama ya yule jamaa![emoji23][emoji23]
 
Kwa sababu ya condition inayoitwa achondroplasia hii hutokea kwa aina ya kwanza ya dwarfism (Disproportionate dwarfism), ambayo ni hali ya kijenetiki inayosababisha ufupi wa miguu na mikono, kichwa kikubwa na uso kuwa na muonekano unaoendana...
Ahsante JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…