ndiyo niliyosema ya kujua mambo nusu nusu kwani hata hiyo evolution triangle umedaka bila hata kuelewa kuwa kujua kuwa hiyo ni term inayotumiwa katika keleza evolutionary processes nyingi na wala haipingi basic evolutionary theory ya "Survival of the fittest" ambayo inaathri miili ya wakazi wa mzingira fulani kujijenga kubalianai ana atahri za mazingira yao. Labda kama ulitaka kusema "Intelligent Design'Nyie watu huwa mnafanana sana. Maneno mengi hamjibu hoja.
Tafuta makala inayoitwa "The Evolution Triangle" usome upaye kujifunza.
Ahsante.
Kwa maana hiyo hakuna anae weza kuthibisha ya kuwa uzito halisi wa jua ni huu ambao tunaambiwa na wanafizikia, bali ni matokeo ya makadirio ya kimahesabu kwa kufata kanuni na nadharia.Kama unaamini utabiri wa hali ya hewa au unaamini simu yako ya kiganjani inapokuonesha direction basi elewa kuwa Inverse distance weighted interpolation inaweza pia kutumika kukadiria uzito wa kitu kilicho mbali.
Falsafa ni :
- the study of the fundamental nature of knowledge, reality, and existence, especially when considered as an academic discipline.
- a theory or attitude that acts as a guiding principle for behaviour.
Ona ulivyokuwa na pupa, nilipo kwambia usome hiyo habari ya "The Evolution Triangle" ,sijaongelea ukosoaji ila kwa kuttokujiamini kwako ukarukia ya kuwa huo ni ukosoaji, ndiyo maana nakurudisha nyuma huenda hukuelewa, sasa benda kasome tena uache kurukia jambo.ndiyo niliyosema ya kujua mambo nusu nusu kwani hata hiyo evolution triangle umedaka bila hata kuelewa kuwa kujua kuwa hiyo ni term inayotumiwa katika keleza evolutionary processes nyingi na wala haipingi basic evolutionary theory ya "Survival of the fittest" ambayo inaathri miili ya wakazi wa mzingira fulani kujijenga kubalianai ana atahri za mazingira yao. Labda kama ulitaka kusema "Intelligent Design'
🙌🙌🙌🙌🙌Swaali zuri sana;
Kwanza fahamu kuwa kuna mbilikimo wa aina mbili: mbilikimo wa asili (pygmy) na mbilikimo wa ugonjwa (dwarf). Wale wa kongo ni mbilikiko wa asili kwa maana ya kuwa maumbile yao ni asili yao na yanatokana na mazingira yao ya asili. Umbilikimo wa aina hii ni hereditary kwa maana ya kuwa huzaliwa na mbilikimo pia. Ni kama ambavyo maumbile ya asili ya waachina yalivyo tofauti na maumbile ya asili ya wazungu, na pia wachina huzaliwa na wachina tu.
Kuna mbilikimo wa aina nyingine ambao wanapata matatizo ya mwili kushindwa kutengeneza hormones zinazohitajika mwili kukua, na hivyo kubaki na umbo la kitoto maisha yao yote; hawa wanajulikana kama dwarfs. Mbilikimo wa aina hii huweza kutokea katika familia yoyote ile, wazazi wawili warefu wanaweza kuzaa mbilikimo wa aina ya dwarf.
Theories zinazonyesha kuwa evolutionary process iliyosababisha waafrika wakawa na ngozi nyeusi kutokana na mazingira ya joto la tropical, ndiyo pia iliyosababisha watu waliokuwa wakiishi kwenye misitu mizito kama vile Kongo kuwa wafupi kwa vile miili yao ilikuwa inakosa mwanga wa jua kutengeneza vitamin D; kwa hiyo miili yao ikawa haiwezi ku-absrob calcium ya kutosha, jambo liliosababisha wawe na mifupa midogo na hivyo kuwa na miili midogo. Misitu ya Kongo ndiyo yenye mbilikimo wengi wa aina hiyo ikifuatiwa na misitu ya Amazon huko Brazili. Kuna sehemu nyingine za dunia kama Papua New Guinea na Australia ambako pia kuna mbilikimo waliotokana na misitu mikubwa iliyokuweko maeneo hayo.
Falsafa,na huwezi kuithibitisha evolution kwa njia za kisayandi, zaidi kucheza na maneno na story nyingi.
There you are again!!Ona ulivyokuwa na pupa, nilipo kwambia usome hiyo habari ya "The Evolution Triangle" ,sijaongelea ukosoaji ila kwa kuttokujiamini kwako ukarukia ya kuwa huo ni ukosoaji, ndiyo maana nakurudisha nyuma huenda hukuelewa, sasa benda kasome tena uache kurukia jambo.
Hii "Survival of the fittest" hii ni dhana tu ambayo haina uhalisia kwani kuishi au kutokuishi kunategemea hasa muda.
Inaingia kote.Evolution ni tafsiri ya 1 au 2 kati ya hizi?
Safi.There you are again!!
Hata uzito wowote kumaanisha "weight" huwa ni kadirio.Kwa maana hiyo hakuna anae weza kuthibisha ya kuwa uzito halisi wa jua ni huu ambao tunaambiwa na wanafizikia, bali ni matokeo ya makadirio ya kimahesabu kwa kufata kanuni na nadharia.
Hitimisho ni kuwa hakuna anae jua uzito halisi wa jua, zaidi ya makadirio ili kufikia hitimisho la kinadharia na mahesabua.
Ila upimaji wake una weza kuudiriki ila kwa na hutegemeana na makadirio ya kanuni msingi wa kifaa kilicho tumika. ila kwa jua ni kinyume kwani hesabu zake hufanyika kwa kutumia kanuni za kimahesabu bila kutumia nyenzo ya kupima uzito.Hata uzito wowote kumaanisha "weight" huwa ni kadirio.
Nafikiri anachoonyesha kusema ni kuwa Theory siyo Science, kwa hiyo Evolution ni theory tu lakini siyo Sience; halafu vile vile anaonyesha kuhitimisha kuwa tusiamini theories. Ila sasa anasahau kutambua kuwa Science inajengwa na theories mbali mbali; huwezi kujenga scientific body of knowledge bila kuwa na theories. Na kuna njia kadhaa za kuprove theories mbalimbali za kiasayansi kulingana na nature ya jambo lenyewe, na siyo lazima kila theoy iwe proved na njia zile zile. Njia zitakazofanya kazi kwenye theory moja zinaweza kuwa siyo applicable kwenye theory nyingine, na hiyo ndiyo sehemu ya process yenyewe.Evolution ni tafsiri ya 1 au 2 kati ya hizi?
Inaingia kote.
Falsafa,na huwezi kuithibitisha evolution kwa njia za kisayandi, zaidi kucheza na maneno na story nyingi.
Naelewa vyote hivyo.Unaelewa maana ya Fundamental nature ?
Unaelewa maana ya Knowledge ?
Unaelewa maana ya Reality na existence katika philosophy?
Zile wanazo tumia kufikia hitimisho juu ya mawazo yao. Nazo ni :Njia za kisayansi ni zipi?
Zile wanazo tumia kufikia hitimisho juu ya mawazo yao. Nazo ni :
1. Ask a Question
2. Do background research
3. Constuct a Hypothesis
4. Test Your Hypothesis by Doing an Experiment
5. Analyze your Data and Draw a Conclusion
6 . Communicate your results
Haiangaliwi ipi, bali unatakiwa uonyeshe zote wapi zimetumika, ndiyo maana ya "Scientific methods" huoni zimefata mtiririko mpaka kwenye hitimisho, huwezi kutumia moja tu kisha ukasema umetumia njia za kisayansi sababu hata wanafalsafa nao wanajiuliza, wewe unajiuliza na yule kadhalika.Ipi haijatumika katika evolution kati ya hizi?
Haiangaliwi ipi, bali unatakiwa uonyeshe zote wapi zimetumika, ndiyo maana ya "Scientific methods" huoni zimefata mtiririko mpaka kwenye hitimisho, huwezi kutumia moja tu kisha ukasema umetumia njia za kisayansi sababu hata wanafalsafa nao wanajiuliza, wewe unajiuliza na yule kadhalika.
La msingi unatumia njia gani kufikia hitimisho.