Gaidi ni yule aliekuleta duniani mtu kilaza kama wewe.Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwa nini?
1. anahela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?

Mliyoyafanya kwa Lissu ile tarehe 27 Sept, yana majibu ya maswali yako yanayoonesha ufinyu wa fikra zako na wenzako.Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwa nini?
1. anahela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?
Acha kujisahaulisha, umesahau mliyetaka kumtoa uhai mchana kweupe, unajisshaulisha kuna wasiojulikana, una jisahaulisha mlinvunja mguu. Utumiage na akili wakati mwingine kabla ya kufiliri wote mazuzu.Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?
1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. Alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?
Unajua maana ya gaidi??Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Kwa nini Diamond ana VIP protetectionMwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?
1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. Alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?
Bila shaka huyo ni miongoni mwawasiojulikana😂Unajua maana ya gaidi??
Hai sio mbinguni kwamba hapafikiki. Ni hapa hapa bongo. Na uzuri mmoja hai haiko milimani.. halaf maendeleo yamefika kitu kinachofanya kufikika kiurahis.Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?
1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. Alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?
Nakazia tu hoja, ukiwa na mgogoro wa kisiasa na mkuu wa wilaya anayetumia mabavu na cheo chake kufanya ujambazi , basi mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambacho mbunge wake na makamu mwenyekiti alinusurika kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana akiacha kuajiri ulinzi bora tena mwaka wa uchaguzi itakuwa ni jambo la kizembe mno.Hai sio mbinguni kwamba hapafikiki. Ni hapa hapa bongo. Na uzuri mmoja hai haiko milimani.. halaf maendeleo yamefika kitu kinachofanya kufikika kiurahis.
Kunyemelewa na kuvamiwa itakuwa rais sana kama ukiamin ukiwa kwenu uko safe.
Kutokana na matukio ya wasiojulikana ilibif uwepo ulinzi. Ukishafika level flan ya mafanikio nchi hii automatic unakuwa threat.. lazima ujilinde.
Huwezi kukaa kizembe ukisubiria upotezwe
Unawashwa kitu gani wewe bimkubwa?Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?
1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. Alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?
Lumumba wanahitaji kupata nafasi ili wamshambulieKwa sababu alihitaji ulinzi wa uhakika. Kuishi zama zile za wasiojulikana kizembe zembe ni kosa kubwa.....