Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Gaidi tayari yupo futi 6 chini ya udongoHuyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gaidi tayari yupo futi 6 chini ya udongoHuyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Asante sana muzeeGaidi ni yule aliekuleta duniani mtu kilaza kama wewe.
Kuwa mwana ccm inahitajika kunyofoa ubongoAlihitaji VIP protection kwa matukio yaliyokuwa akifanyiwa na Sabaya, ikiwemo kuvamia hotelini kwake akiwa na silaha ya moto, na kupigwa na kuvunjwa mguu na wahuni.
Ajabu yule jambazi alieonekana kila mahali akifanya uhumi kwa Mbowe. yeye ndie anadai alikuwa akijilinda.
Upo sahihi sanaHuyo kama ni Gaidi wamsomee mashitaka chap wamnyonge chap tuendelee na mambo mengine , sio kila sku ngonjera ya kesi , kama sio Gaidi waseme na wamwachie maisha yaendelee
Anajitoa akili tuKwamba umesahau, akiwa na Bunduki na wenzake ,Sabaya akitumia Gari aloweka p# feki za UN alienda wapi???
Kwamba hujui hata Status ya Mbowe nchi hiii??
Kwamba, vile ambavyo weee unatembea kitaan, unaenda kwa Mama ntiliez Unakula Chapati mbili na supu ya buku,,, ndivo unataka kujilinganisha na Mbowe
Ila watu
Maswali yako yote hayana mashiko. Ni ya kitoto na ya kipuuzi kupindukia.Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?
1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. Alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?
Tangu lini ndani ya uvccm kukawa na watu wenye kutumia akili?Maswali yako yote hayana mashiko. Ni ya kitoto na ya kipuuzi kupindukia.
Wanaokugonga hawakupatiiHuyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Upo Tanzania kweli wewe,!..??utekaji na upotezwaji wa watu hukuusikia!?Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?
1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. Alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?
Wachana na hao wasiyo julikanaUpo Tanzania kweli wewe,!..??utekaji na upotezwaji wa watu hukuusikia!?
Ben saa nane kapotezwa,Tundulisu alimiminiwa risasi kumi 19 ! Mchana kweupee,Bado unauliza swali!!?
Jisikie aibu kusema maneno hayo.Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Dikteta na roho yake mbaya,sasaivi limebakia vumbi tu huko ardhiniHuyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Gaidi mama yakoHuyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Huyu Mbowe alikutenda nini? Inaonekana alikutenda kitu husahau. ! Au alimla mkeo kakuzalia mtoto?. Inawezekana alikuwa anakurarua marinda si bure.! Kila comment apigwe 50! ukijigusa gaidi! Si upeleke ushahidi ulionao huko mahakamani. ila naona uliathiriwa na tabia ya mwendazake. Mungu ni Mungu na haki itabaki kuwa haki tu.Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Binadamu timamu hawezi kuwa na akili mgando kama yako.Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Kama ilivyo kwa aliyekubeba tumboni kuwa rais wa wakina "Rahabu".Alitaka nchi isitawalike ili awe Waziri Mkuu. Sasa hivi kapewa Urais kabisa wa wafungwa.