Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Huyu hapa

He_is_not_a_terrorist_mzee_Mbowe....jpg
 
Watu primitive kama sabaya ilikuwa ni hatari Sana kwa usalama wa Mbowe
 
Hii kesi imefanya wale wanaolindwa na mabaunza wajue kumbe huku mitaani Tanzania wako makomandoo wa ex -JWTZ wenye ranki za maofisa kwa ajili ya kukodisha/ kuwaajiri kwa ulinzi wao. Wenye akili za Kihamzahamza wasije nao kuwatafuta kupiga kolabo.
 
Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Halafu utakuwa ndio mwisho maisha yako hayo ya dhiki
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?

Rejea tukio la Sabaya kwenda kwake usiku na mitutu. Sisi tuliweza kuona hako kakipande tu, think big.
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?

Kwasababu Aliwindwa na mwendazake
 
Alihitaji VIP protection kwa matukio aliyokuwa akifanyiwa na Sabaya, ikiwemo kuvamia hotelini kwake akiwa na silaha ya moto, na kupigwa na kuvunjwa mguu na wahuni.

Ajabu yule jambazi alieonekana kila mahali akifanya uhuni kwa Mbowe, yeye ndie anadai alikuwa akijilinda.
Kwani alipokuwa akiiba magari alipata wapi protection?
 
Huyu Mbowe alikutenda nini? Inaonekana alikutenda kitu husahau. ! Au alimla mkeo kakuzalia mtoto?. Inawezekana alikuwa anakurarua marinda si bure.! Kila comment apigwe 50! ukijigusa gaidi! Si upeleke ushahidi ulionao huko mahakamani. ila naona uliathiriwa na tabia ya mwendazake. Mungu ni Mungu na haki itabaki kuwa haki Huyu Kiburilo Said ni Kingai huyu. Ana uchungu wa madudu yake kukwama na sasa ana hasira sana.
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Kwanza tupe maana ya vip protection
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Acha gubu, Kama mwenyekiti wa CCM ni VIP kwanini mwenyekiti wa CHADEMA asiwe?
 
VIP proyection, ni ulinzi binafsi msiogope neno VIP, hata mastaa maarufu wanakuwa na VIP protection kuzuia si maadui tu bali hata wapenzi waliochanganyikiwa wanaotaka wawarukie kuwabusu! Manabii na mitume nao wana VIP protection (walinzi binsfsi) mliozoea kuwaita mabaunsa.
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Yupo wapi ben Sanane
Anzory Gwanda na wengi waliopptea?
Nani alimpiga risasi tundu lisu ? Je kuna case yeyote mahakamani???
Ukiweza kuyajibu haya ndo uanzishe ngonjera zako za kishamba hapa.
Je ni kosa kwa mtu kuwa na walinzi binafsi?
Gharama take ni hao walinzi kutesa na wengine kuuwawa na kupotezwa???
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
kwa sababu ni VIP.
 
Inakuhusu nini? Kila mtu anachagua aina ya ulinzi kulingana na uwezo, nafasi, na usalama.
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Katiba ya JMT inakataa?.
 
Nakazia tu hoja, ukiwa na mgogoro wa kisiasa na mkuu wa wilaya anayetumia mabavu na cheo chake kufanya ujambazi , basi mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambacho mbunge wake na makamu mwenyekiti alinusurika kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana akiacha kuajiri ulinzi bora tena mwaka wa uchaguzi itakuwa ni jambo la kizembe mno.

Mbowe huyuhuyu si ndio alivunjika mguu akasema kuna watu walimvunja, ila tukaambiwa baada ya uchunguzi kuwa ni ulevi wake alianguka mwenyewe, unafikiri 2020 angelalamika Sabaya ni jambazi anamtishia maisha yake nani angemsikiliza "Power Sabaya" alikuwa ni kijana mchapakazi wa Rais View attachment 1956835
Wajinga wengi mmejazana CCM.
 
Back
Top Bottom