Nakazia tu hoja, ukiwa na mgogoro wa kisiasa na mkuu wa wilaya anayetumia mabavu na cheo chake kufanya ujambazi , basi mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambacho mbunge wake na makamu mwenyekiti alinusurika kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana akiacha kuajiri ulinzi bora tena mwaka wa uchaguzi itakuwa ni jambo la kizembe mno.
Mbowe huyuhuyu si ndio alivunjika mguu akasema kuna watu walimvunja, ila tukaambiwa baada ya uchunguzi kuwa ni ulevi wake alianguka mwenyewe, unafikiri 2020 angelalamika Sabaya ni jambazi anamtishia maisha yake nani angemsikiliza "Power Sabaya" alikuwa ni kijana mchapakazi wa Rais
View attachment 1956835