Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
 
Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
 
Alihitaji VIP protection kwa matukio aliyokuwa akifanyiwa na Sabaya, ikiwemo kuvamia hotelini kwake akiwa na silaha ya moto, na kupigwa na kuvunjwa mguu na wahuni.

Ajabu yule jambazi alieonekana kila mahali akifanya uhuni kwa Mbowe, yeye ndie anadai alikuwa akijilinda.
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwa nini?
1. anahela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?

Kwa nini walikua hawataki alindwe….?

Je Askari waliotumikia nchi tena vitani kwa level ya komandooo wakiondolewa kazini kuna kosa kujitafutia kipato halali ? Mbona Lugumi naye alichukua wa aina hiyo walioko mitaani wakawa walinzi wake ? au wanataka wakawe walinzi wajummbani au walinde ATM ? au wanataka wakaajiriwe na waasi huko DRC na nchi zingine maana ajira ziko nje nje ….

Kama Rais Samia alivyosema ; Tutende haki ili Mungu asituadhibu….
Kama hii kesi haingeenda mahakamani tungejua vipi kuwa Komando huyu haonekani kama ilivyo kwa Komando Ramadhani Kadego ( na pengine wameuliwa

Serikali ya JPM imetuachia makovu sana na kimsingi tunahitaji mambo mengi zaidi kama haya yawe wazi ili tuweze kufanya marekebisho makubwa
Mfano leo hiii wanajeshi wanawafikiria vipi Polisi ?
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwa nini?
1. anahela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Mliyoyafanya kwa Lissu ile tarehe 27 Sept, yana majibu ya maswali yako yanayoonesha ufinyu wa fikra zako na wenzako.
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Acha kujisahaulisha, umesahau mliyetaka kumtoa uhai mchana kweupe, unajisshaulisha kuna wasiojulikana, una jisahaulisha mlinvunja mguu. Utumiage na akili wakati mwingine kabla ya kufiliri wote mazuzu.
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Kwa nini Diamond ana VIP protetection
 
Unamjua DC aliyekuwa wilaya ya hai Lengai Ole Sabaya ?
79241064_600482724065266_5722092087839468890_n.jpg
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Hai sio mbinguni kwamba hapafikiki. Ni hapa hapa bongo. Na uzuri mmoja hai haiko milimani.. halaf maendeleo yamefika kitu kinachofanya kufikika kiurahis.
Kunyemelewa na kuvamiwa itakuwa rais sana kama ukiamin ukiwa kwenu uko safe.

Kutokana na matukio ya wasiojulikana ilibif uwepo ulinzi. Ukishafika level flan ya mafanikio nchi hii automatic unakuwa threat.. lazima ujilinde.

Huwezi kukaa kizembe ukisubiria upotezwe
 
Nakazia tu hoja, ukiwa na mgogoro wa kisiasa na mkuu wa wilaya anayetumia mabavu na cheo chake kufanya ujambazi , basi mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambacho mbunge wake na makamu mwenyekiti alinusurika kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana akiacha kuajiri ulinzi bora tena mwaka wa uchaguzi itakuwa ni jambo la kizembe mno.

Mbowe huyuhuyu si ndio alivunjika mguu akasema kuna watu walimvunja, ila tukaambiwa baada ya uchunguzi kuwa ni ulevi wake alianguka mwenyewe, unafikiri 2020 angelalamika Sabaya ni jambazi anamtishia maisha yake nani angemsikiliza "Power Sabaya" alikuwa ni kijana mchapakazi wa Rais
Hotpot.png
 
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?

1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa

2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa

3. Alikuwa mgombea urais?

Sababu yake nini hasa?
Unawashwa kitu gani wewe bimkubwa?
 
Back
Top Bottom