Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

Kuwa mwana ccm inahitajika kunyofoa ubongo
 
Huyo kama ni Gaidi wamsomee mashitaka chap wamnyonge chap tuendelee na mambo mengine , sio kila sku ngonjera ya kesi , kama sio Gaidi waseme na wamwachie maisha yaendelee
Upo sahihi sana
 
Kwamba umesahau, akiwa na Bunduki na wenzake ,Sabaya akitumia Gari aloweka p# feki za UN alienda wapi???

Kwamba hujui hata Status ya Mbowe nchi hiii??

Kwamba, vile ambavyo weee unatembea kitaan, unaenda kwa Mama ntiliez Unakula Chapati mbili na supu ya buku,,, ndivo unataka kujilinganisha na Mbowe

Ila watu
 
Anajitoa akili tu
 
Maswali yako yote hayana mashiko. Ni ya kitoto na ya kipuuzi kupindukia.
 
Upo Tanzania kweli wewe,!..??utekaji na upotezwaji wa watu hukuusikia!?
Ben saa nane kapotezwa,Tundulisu alimiminiwa risasi kumi 19 ! Mchana kweupee,Bado unauliza swali!!?
 
Upo Tanzania kweli wewe,!..??utekaji na upotezwaji wa watu hukuusikia!?
Ben saa nane kapotezwa,Tundulisu alimiminiwa risasi kumi 19 ! Mchana kweupee,Bado unauliza swali!!?
Wachana na hao wasiyo julikana
 
Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Dikteta na roho yake mbaya,sasaivi limebakia vumbi tu huko ardhini
 
Polisi wamataka walinzi wa viongozi wa upinzani wawe wabeba vyuma na watunisha misuli kusikia makomandoo wameajiliwa wakapanic
 
Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Huyu Mbowe alikutenda nini? Inaonekana alikutenda kitu husahau. ! Au alimla mkeo kakuzalia mtoto?. Inawezekana alikuwa anakurarua marinda si bure.! Kila comment apigwe 50! ukijigusa gaidi! Si upeleke ushahidi ulionao huko mahakamani. ila naona uliathiriwa na tabia ya mwendazake. Mungu ni Mungu na haki itabaki kuwa haki tu.
 
Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Binadamu timamu hawezi kuwa na akili mgando kama yako.
Unawezaje kunakili maandishi hayohayo kwenye nyuzi tofauti zenye maudhui tofauti!??
Kamuone mtaalamu wa afya ya akili kabla hujaanza kutembea uchi.
 
Makamu mwenyekiti wako anapigwa magazine nzima afu wewe mwenyekiti ukae kizembe zembe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…