Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

KWANI YALIYOMPATA TUNDU LISSU NAYO HUYAJUI?
 
Mbona ile takataka ya kule kitovuni iliyooza kwenye gozi la kondoo ilikua inatembea na batallion nzima ya jeshi mpaka magari ya deraya hamkuhoji, mtu kuwa na viwalinzi viwili inakua ishu? Pumbaf sana nyie lumumba, unakuta kimtu na akili zake za kuvukia barabara kinashadadia mambo ya hovyooooo, uzi kama huu ulitakiwa ufutwe ila ndio vile jamiiciiciiemu wanauacha tu
 
Sabaya na Kingai walipewa kazi na Magufuli “ WAMTUPE Mbowe” ndio maana unaona hao makomandoo leo WAMETUPWA na wameteswa na Kingai.
Makomandoo kumlinda Mbowe ni kosa kubwa kwa “Chama dola” Magufuli na kizazi chake walaaniwe
 
Yaliyomtokea Tundu Lissu ndo yalilsukuma kuhitaji VIP protection, ambalo ni jambo sahihi kabisa.
 
Wakati huohuo, wengine wakilindwa tunaambiwa,"The guilty are afraid".
 
Kamuulize Mumeo akiwa anakudungua.
Mooooods toa hii takataka
 
AKILI ZA KINGAIIIIII KABISA
 
Huenda Magufuli alishafanya mpango wa kummaliza kupitia jangili kama Sabaya. Magufuli kumpa ukuu wa wilaya huyo Sabaya tena hapo Hai bila shaka ulikuwa ni mkakati maalumu wa kumdhuru Mbowe.

Kama aliweza kuamuru Lissu auwawe kisha akazikwe haraka kijijini kwao haikua tatizo kubwa kwake kuamuru Mbowe pia auwawe kwani ukishaua mara moja huwezi kuacha, utaendelea tu kuuwa kwani muuaji ni muuaji tu.
 
Alijihami na Sabaya kwani mziki wa sabaya haukuwa wa kitoto
 
CCM ya Sabaya walitaka kumuuwa
 
Hata Benjamin Sitta mlinzi wake ni komando aliyefukuzwa jeshini (Ni yule komando aliyemuua rafiki yake wakiwa bar, baada ya rafiki yake kumshikashika mkewe kila mara jamaa akienda washroom, habari zake ziliandikwa sana magazetini), so siyo jambo la ajabu kwa komando kutumia vipawa vyake vya kikomando kujitafutia chakula baada ya kutemwa jeshini!! Bora ya hawa wanaojitafutia kihalali kuliko wale inaosemekana ndiyo walitumika kama WASIOJULIKANA!!
 
Una akili za nursery school, kwanza hakuna kitu kama VIP Protection bali kuna CP Close Protection, ambaye hata wewe kama unauwezo ajiri wako, Manara tu ana CP,
 
Lissu angehitaji walinzi ungehoji hivi hivi,kilichomkuta kinajulikana licha ya kuomba msaada kwa polisi juu ya watu waliokuwa wanamfatilia!
 
Binadamu timamu hawezi kuwa na akili mgando kama yako.
Unawezaje kunakili maandishi hayohayo kwenye nyuzi tofauti zenye maudhui tofauti!??
Kamuone mtaalamu wa afya ya akili kabla hujaanza kutembea uchi.
Unategemea jipya gani kutoka kwa uvccm aliye changanyikiwa?
 
Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Ni Kama mbowe aliwahi kuwaingizia kitu kizito huko nyuma familia yenu yote. Maana unaandika kama umebebeshwa ujauzito hivi. Hongera sana mzazi mtarajiwa
 
Hii kesi imefanya wale wanaolindwa na mabaunza wajue kumbe huku mitaani Tanzania wako makomandoo wa ex -JWTZ wenye ranki za maofisa kwa ajili ya kukodisha/ kuwaajiri kwa ulinzi wao. Wenye akili za Kihamzahamza wasije nao kuwatafuta kupiga kolabo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…