Kwanini Mbowe alihitaji VIP protection?

Huyu hapa

 
Watu primitive kama sabaya ilikuwa ni hatari Sana kwa usalama wa Mbowe
 
Hii kesi imefanya wale wanaolindwa na mabaunza wajue kumbe huku mitaani Tanzania wako makomandoo wa ex -JWTZ wenye ranki za maofisa kwa ajili ya kukodisha/ kuwaajiri kwa ulinzi wao. Wenye akili za Kihamzahamza wasije nao kuwatafuta kupiga kolabo.
 
Huyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Halafu utakuwa ndio mwisho maisha yako hayo ya dhiki
 

Rejea tukio la Sabaya kwenda kwake usiku na mitutu. Sisi tuliweza kuona hako kakipande tu, think big.
 

Kwasababu Aliwindwa na mwendazake
 
Kwani alipokuwa akiiba magari alipata wapi protection?
 
 
Kwanza tupe maana ya vip protection
 
Acha gubu, Kama mwenyekiti wa CCM ni VIP kwanini mwenyekiti wa CHADEMA asiwe?
 
VIP proyection, ni ulinzi binafsi msiogope neno VIP, hata mastaa maarufu wanakuwa na VIP protection kuzuia si maadui tu bali hata wapenzi waliochanganyikiwa wanaotaka wawarukie kuwabusu! Manabii na mitume nao wana VIP protection (walinzi binsfsi) mliozoea kuwaita mabaunsa.
 
Yupo wapi ben Sanane
Anzory Gwanda na wengi waliopptea?
Nani alimpiga risasi tundu lisu ? Je kuna case yeyote mahakamani???
Ukiweza kuyajibu haya ndo uanzishe ngonjera zako za kishamba hapa.
Je ni kosa kwa mtu kuwa na walinzi binafsi?
Gharama take ni hao walinzi kutesa na wengine kuuwawa na kupotezwa???
 
kwa sababu ni VIP.
 
Inakuhusu nini? Kila mtu anachagua aina ya ulinzi kulingana na uwezo, nafasi, na usalama.
 
Katiba ya JMT inakataa?.
 
Wajinga wengi mmejazana CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…