LGE2024 Kwanini Mbowe amekubali kuhojiwa na Kituo cha kimataifa cha Al Jazeera news wakati Uchaguzi haujaisha?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Uchaguzi wa taifa kubwa USA Kwaio BBC ya uingereza walivyokua wanatoa projection nakuwahoji kina Trump ilikua ni kuvujisha taarifa...uchaguzi huu wenyewe wa mabalozi wa mtaa wa nchi inayotegemea misaada kununua V8 za mafisadi ? Who is interested ? Tumia iyo 🍑 kunyea na sio kuwazia kama hapa 🗑️
Huyu mleta hoja akili zake zimechanganyika na haja kubwa. Mtu hovyo kabisa
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Kwa kura za maruhani.
 
Hamna uchaguzi hapo, ni kupotezeana muda tu na raslimali za nchi.
 
Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania.

Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu mbalimbali wakiwemo:

1) Steven Chalamila wa Jimbo la Tunduma aliyevamiwa na kukatwakatwa mapanga kikatili hadi umauti kumkuta.
2) Modestus Timbisimilwa, Mgombea nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ulongoni A, Kata ya Gongolamboto, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam aliyeuwawa na askari kwa kupigwa risasi wakati wa purukushani za kuzuia kura bandia na batili kuingizwa kituo cha kupiga kura.
3)George Juma Mohammed wa Kitongoji cha Stand Kata ya Mkwese Jimbo la Manyoni Mkoani Singida aliyevamiwa nyumbani kwake na watu waliofahamika kuwa askari na kumpiga risasi iliyomsababishia umauti.

Aidha, tuna taarifa kadhaa za kujeruhiwa na kukamatwa na Polisi viongozi, wagombea, wanachama na wapenzi wetu maeneo mbalimbali ya nchi walipokuwa wakijitahidi kukamata na kuzuia kuingizwa vituoni kura bandia na batili zilizopigwa tayari kuwabeba wagombea wa CCM.

Tunataka watu wetu hawa waachiwe haraka na bila masharti yeyote.

Tunaendelea kuwasiliana na Chama kitatoa tamko rasmi zoezi hili likikamilika.

Tunaamini kinachofanyika kina maagizo na baraka zote za @SuluhuSamia na Serikali yake na au nchi iko kwenye "autopilot" na yeyote katika eneo lake ana mamlaka ya kunajisi uchaguzi anavyotaka kwani tayari wamepewa kinga na Kanuni ya 49 ya Kanuni za Uchaguzi wa Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa inayosema, nanukuu:

"Msimamizi wa Uchaguzi, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, Msimamizi wa Kituo, Wajumbe wa Kamati ya Rufani au mtumishi yeyote wa Umma aliyehusika na usimamizi wa uchaguzi hatowajibika kwa Jinai au Madai au kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu au za kiutawala kwa jambo lolote alilolifanya au kuacha kulifanya kwa nia njema wakati wa kutekeleza majukumu yake chini ya Kanuni hizi". Mwisho wa kunukuu.

Hakika Taifa lina Msiba mwingine!!
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Uzalendo wa wizi? Mbona hamji amini? Nyie ni wezi halafu hamtaki mjulikane
 
Wahalifu siku zote huwa wana hofu na taarifa .

Kama hilo igizo lililopachikwa jina "uchaguzi" ni huru hofu ya nini?
 
CCM + PoliCCM = Ushindi wa kishindo.
IMG_20241127_182854.jpg
 
Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania.

Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu mbalimbali wakiwemo:

1) Steven Chalamila wa Jimbo la Tunduma aliyevamiwa na kukatwakatwa mapanga kikatili hadi umauti kumkuta.
2) Modestus Timbisimilwa, Mgombea nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ulongoni A, Kata ya Gongolamboto, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam aliyeuwawa na askari kwa kupigwa risasi wakati wa purukushani za kuzuia kura bandia na batili kuingizwa kituo cha kupiga kura.
3)George Juma Mohammed wa Kitongoji cha Stand Kata ya Mkwese Jimbo la Manyoni Mkoani Singida aliyevamiwa nyumbani kwake na watu waliofahamika kuwa askari na kumpiga risasi iliyomsababishia umauti.

Aidha, tuna taarifa kadhaa za kujeruhiwa na kukamatwa na Polisi viongozi, wagombea, wanachama na wapenzi wetu maeneo mbalimbali ya nchi walipokuwa wakijitahidi kukamata na kuzuia kuingizwa vituoni kura bandia na batili zilizopigwa tayari kuwabeba wagombea wa CCM.

Tunataka watu wetu hawa waachiwe haraka na bila masharti yeyote.

Tunaendelea kuwasiliana na Chama kitatoa tamko rasmi zoezi hili likikamilika.

Tunaamini kinachofanyika kina maagizo na baraka zote za @SuluhuSamia na Serikali yake na au nchi iko kwenye "autopilot" na yeyote katika eneo lake ana mamlaka ya kunajisi uchaguzi anavyotaka kwani tayari wamepewa kinga na Kanuni ya 49 ya Kanuni za Uchaguzi wa Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa inayosema, nanukuu:

"Msimamizi wa Uchaguzi, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, Msimamizi wa Kituo, Wajumbe wa Kamati ya Rufani au mtumishi yeyote wa Umma aliyehusika na usimamizi wa uchaguzi hatowajibika kwa Jinai au Madai au kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu au za kiutawala kwa jambo lolote alilolifanya au kuacha kulifanya kwa nia njema wakati wa kutekeleza majukumu yake chini ya Kanuni hizi". Mwisho wa kunukuu.

Hakika Taifa lina Msiba mwingine!!
 
Uishije? Upumbavu mtupu mnaua Watanzania wenzenu kisha uchaguzi Serikali za mitaa? Mbwa hawa
Huyu jamaa ni ''mchochea kuni'' tu. Hana nia mbaya na wala siyo chawa. Infact huwa anaonyesha madudu ya CCM lakini kwa kutumia njia ya ''kinyume na maumbile ya ubongo''
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Yaani tuibiane na tusilalamikiane.
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Nikituo huru kuliko tbc,zbc bbc,cnn dw na uchafu mwingine mwingi na napendekeza baada ya hapo apate bahati ya kuongea na tass,truth social media na sputnik.
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Uzalendo ni pamoja na kutoiba kura na kuwatimua Mawakala wa Upinzani
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Kilaza ktkt ubora wako
 
Back
Top Bottom