Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Uchaguzi wa taifa kubwa USA Kwaio BBC ya uingereza walivyokua wanatoa projection nakuwahoji kina Trump ilikua ni kuvujisha taarifa...uchaguzi huu wenyewe wa mabalozi wa mtaa wa nchi inayotegemea misaada kununua V8 za mafisadi ? Who is interested ? Tumia iyo 🍑 kunyea na sio kuwazia kama hapa 🗑️Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo 🐼