LGE2024 Kwanini Mbowe amekubali kuhojiwa na Kituo cha kimataifa cha Al Jazeera news wakati Uchaguzi haujaisha?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Uchaguzi wa taifa kubwa USA Kwaio BBC ya uingereza walivyokua wanatoa projection nakuwahoji kina Trump ilikua ni kuvujisha taarifa...uchaguzi huu wenyewe wa mabalozi wa mtaa wa nchi inayotegemea misaada kununua V8 za mafisadi ? Who is interested ? Tumia iyo 🍑 kunyea na sio kuwazia kama hapa 🗑️
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Unajisaidia ndani halafu hutaki harufu isikike nje?
Shida ya wana ccm wengi wanafikiria bado tupo zama za RTD
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Uchaguzi gani wakati kuna watu wanauawa kwa kujaribu kuzuia wizi na uporaji wa kura?
 
jamani mbowe anaenda kunyea ndoo segereeaa mazeee
 
U
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
chaguzi zetu zimejaa vichekesho mwaka kuna sanduku la wakina mama mimi nimeuliza kwanini la akina baba halipo wameniambia.wao hawahusiki ndiyo utaratibu wa mwaka huu
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Kuna mzalendo hapa kwetu..? Maana uzalendo maana yake sijaijua mm mpaka sasa
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Unaiba kura..hufati pillar za FREE & FAIR ELECTION.

Unazani Kati ya mbowe na majizi ya kura CCM nani mzalendo ngoja auambie umma wa dunia kilicho fanyika Leo ni UCHAFUZI
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Uchaguzi ulishaisha kabla hata kuanza. Ana kila uhalali wa kuambia ulimwengu ubaradhuli wa Samia, Mchengerwa na CCM yao.
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Wazalendo wa wizi wa kura na uchafuzi wa uchaguzi kiasi hiki?
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Wewe ni mpumbavu
images (2).jpeg
 
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?

Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo

Viongozi tuwe Wazalendo 🐼
Mchengerwa alipokubali ombi la mkwewe kubaka demokrasia hakujua kuwa dunia ni kijiji? Mumeua watu wengi sana katika uchaguzi huu mwakani si ndiyo nchi itatapakaa damu za wapinzani ili muendelee kutawala na kuzidi kuifukarisha nchi.
 
Back
Top Bottom