Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Kwanini wewe umekubali kuposti jambo hili kabla uchaguzi haujaisha??Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo
Viongozi tuwe Wazalendo 🐼