Nandagala One JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 1,913 Reaction score 2,286 Nov 27, 2024 #61 johnthebaptist said: Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika? Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo Viongozi tuwe Wazalendo 🐼 Click to expand... Kwanini wewe umekubali kuposti jambo hili kabla uchaguzi haujaisha??
johnthebaptist said: Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika? Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo Viongozi tuwe Wazalendo 🐼 Click to expand... Kwanini wewe umekubali kuposti jambo hili kabla uchaguzi haujaisha??
Baltazar Engongo JF-Expert Member Joined May 6, 2024 Posts 604 Reaction score 932 Nov 27, 2024 #62 Erythrocyte said: Mbowe akamatwe au auawe Click to expand... Ukishakubali kuchukua pesa hayo ndio matokeo yake. Lissu aliwaambia mkaona anakosoa chama. Huwezi chukua pesa za watu alafu ukaendelea kuwapinga
Erythrocyte said: Mbowe akamatwe au auawe Click to expand... Ukishakubali kuchukua pesa hayo ndio matokeo yake. Lissu aliwaambia mkaona anakosoa chama. Huwezi chukua pesa za watu alafu ukaendelea kuwapinga
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Nov 27, 2024 #63 johnthebaptist said: Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika? Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo Viongozi tuwe Wazalendo 🐼 Click to expand... Kwani 4R zinazuia kuzungumzia uchafuzi kwenye uchaguzi
johnthebaptist said: Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika? Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya Leo Viongozi tuwe Wazalendo 🐼 Click to expand... Kwani 4R zinazuia kuzungumzia uchafuzi kwenye uchaguzi
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 27, 2024 #64 Baltazar Engongo said: Ukishakubali kuchukua pesa hayo ndio matokeo yake. Lissu aliwaambia mkaona anakosoa chama. Huwezi chukua pesa za watu alafu ukaendelea kuwapinga Click to expand... hatubishani na mtu mjinga kama wewe, tafuta wa aina yako
Baltazar Engongo said: Ukishakubali kuchukua pesa hayo ndio matokeo yake. Lissu aliwaambia mkaona anakosoa chama. Huwezi chukua pesa za watu alafu ukaendelea kuwapinga Click to expand... hatubishani na mtu mjinga kama wewe, tafuta wa aina yako
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 27, 2024 #65 Mshana Jr said: Anakera sana Click to expand... Tumuombee