Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Yupo kwenye kompyuta anahakikisha njia zote atakapopata na anafuatilia kwa karibu sanaUnawashwa Sana wewe jamaa
Wewe Mwalimu huna akili.Unawashwa Sana wewe jamaa
Protoklai inamzuia kwenda Kumpokea?Hujui hata protokali.
Nenda kafikirie makazi mapya huko acha ujuha Kisarawe imekushinda leo uongelee yasiyo kuhusu wala kuyajuaLeo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
Mbona mmepqnic sana kuona mbowe hajaenda?Nenda kafikirie makazi mapya huko acha ujuha Kisarawe imekushinda leo uongelee yasiyo kuhusu wala kuyajua