Hawezi elewa, huyu jamaa kuna ambacho mawazo yake yamemtuma.Kwa itifaki ilivyo mwenyekiti hawezi kumpokea mdogo wake ila atakutana eneo la tukio.
Maswala ya Protokali. Angalia vizuri kwenye Mkutano alikuwepo na Kila aliyeongea alikuwa ana muadress.Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
Cha ajabu nini? Mbona marais wetu wanapokelewa na mawaziri kisha kwenda kupokelewa na mkuu wa nchi ikulu?Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
we ni popo unataka hata kama alikuwa mgonjwa basi apone akampokee lisu.Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
Wewe hujui itififaki. Ulishaona Samia akienda uwanjani kumpokea Mpango? Rais anapokelewa na makamu siyo makamu kupokelewa na rais. JielimisheLeo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.