Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Machawa wote tutawasikia leoMbowe hapendi mambo ya jinsia moja
Machawa wote tutawasikia leoMbowe hapendi mambo ya jinsia moja
Sasa nawe si uwe unatumia akili kidogo -mwenyekiti tena siyo mwenyekiti tu bali pia mwenye chama anawezaje kwenda kumpokea makamu mwenyekiti? itifaki haiko hivyo.Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
Wewe KUPEAcha Ramli chonganishi,hata Chawa hawana hizo.
Wakati ule alikuwa mgombea urais.Alivyokuja 2020 mbona alienda kumpokea
Siyo kweliugombea urais aliupatia wapi? Ubelgiji?Wakati ule alikuwa mgombea urais.
Ni bora kwa kuwa sina chuki na yeyote ila rafiki wa wote,hata Mooo😂Wewe KUPE
Sometimes unaweza ukawa hata hutaki kucheka ila ukizama JF utacheka tu 🤣🤣🤣MODS wamekulea sana mpaka ukadhani uko juu ya sheria za JF. Tuone na hili kama watakuacha tutajua cha kufanya.
hakwenda kwa sababu ni kawaida mbona ulishajibu kwenye aya yako hapo juu, wakati Yohana mbatizaji yuko gerezani aliwatuma wanafunzi wake kwa Yesu kwamba niko kifungoni je ni wewe masihi wa bwana au tumtazamie mwingine,Yesu akawajibu akawaambia mwambieni Yohana vipofu wanapata kuona viwete wanakwenda,viziwi wanasikia waliopooza wanapata afya waliokifungoni wanawekwa huruLeo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
mbona umetoka kusagana muda tuMbowe hapendi mambo ya jinsia moja
Ni sahihi mwenyekiti wa CCM kwenda kumpokea makamu mwenyeki Abdulrahiman Kinana kiitifaki imekaaje?hebu tuanzie hapo.Dah! Mimi ni CCM Damu lakini naona kiitifaki sio sawa Mbowe kumpokea Lissu. Ila Lissu kumpokea Mbowe ni sahihi na lazima. Hata mwenyekiti wa CCM hawezi kwenda kumpokea Makamu Mwenyekiti. Kulamba asali haihusiani na hili tukio la kupokeana.
" Mwenyekiti (Mbowe)yupo wapi? Si mliniambia atakuwepo? Eeeeh.Mleta mada hujui itifaki za kitaasisi wewe.
Hata Mhe Samia hawezi kwenda kumpokea Mh Mpango Airport.
Kaona aibu kama Adam alivyojifisha kwa Mungu baada ya kula tunda la katikati, kwa hiyo Mbowe na yeye keshalambishwa asali sasa anaona aibu ya kumpokea msaliti wa taifaLeo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.
Umeniuliza?Ni sahihi mwenyekiti wa CCM kwenda kumpokea makamu mwenyeki Abdulrahiman Kinana kiitifaki imekaaje?hebu tuanzie hapo.
" Mwenyekiti (Mbowe)yupo wapi? Si mliniambia atakuwepo? Eeeeh.
![]()
Lissu ahoji sababu ya Mbowe kutokuwapo ‘airport’
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara) Tundu Lissu ametua nchini, akitokea Ubelgiji alikokimbilia baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 huku akimuulizia aliko Mwenyekiti wa chama...www.mwananchi.co.tz
Nipanikishwe naweMbona mmepqnic sana kuona mbowe hajaenda?