Kwanini Mbowe hakwenda kumpokea Tundu Lissu?

Mtaongea sana mwaka huu hadi maji mtaita mma
 
Hapo roho imekuuma kuona mji umezizima, Katibu Mkuu amekwenda kuwakilisha uongozi, mengine yaruhusu yakupite kijana
 
Unge omba uwekwe kwenye kamati ya maandalizi ili utoe huo ushuzi wako ndani ya kamati. Tangu lini Mama Samia akaenda uwanjani kumpokea Dr. Mpango?
 
Mbowe na Lisu washapasuka Siku nyingi maelewano hayapo tatizo ni uenyekiti. Lisu anautaka uenyekiti Mbowe anataka kuwa mwenyekiti wa milele.
 
Dah! Mimi ni CCM Damu lakini naona kiitifaki sio sawa Mbowe kumpokea Lissu. Ila Lissu kumpokea Mbowe ni sahihi na lazima. Hata mwenyekiti wa CCM hawezi kwenda kumpokea Makamu Mwenyekiti. Kulamba asali haihusiani na hili tukio la kupokeana.
 
Mleta mada hujui itifaki za kitaasisi wewe.
Hata Mhe Samia hawezi kwenda kumpokea Mh Mpango Airport.
 
Unge omba uwekwe kwenye kamati ya maandalizi ili utoe huo ushuzi wako ndani ya kamati. Tangu lini Mama Samia akaenda uwanjani kumpokea Dr. Mpango?
Kwa hiyo mbowe ni mama?
 
Dah! Mimi ni CCM Damu lakini naona kiitifaki sio sawa Mbowe kumpokea Lissu. Ila Lissu kumpokea Mbowe ni sahihi na lazima. Hata mwenyekiti wa CCM hawezi kwenda kumpokea Makamu Mwenyekiti. Kulamba asali haihusiani na hili tukio la kupokeana.
Alivyokuja 2020 mbona alienda kumpokea
 
UMEENDA WEWE INATOSHA VIPI MKEKA wa MADC MAMA KAUTANDIKA MBONA HUJAONEKANA NA UCHAWA WAKO?
 
Acha Ramli chonganishi,hata Chawa hawana hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…