Kwanini Mbowe hakwenda kumpokea Tundu Lissu?

Kiitifaki duniani kote mkubwa hawezi kumpokea mdogo. Zingatia hiyo.
 
Protokali hiyo.Mbowe ni mwenyekiti na Lisu ni Makamu hivyo yeye atamsubiri ofisini.
 
Tunajua kuwa mnapanga kulipua mabomu kwenye mikutano ya Chadema ili kuwatisha watu wasihudhurie mikutano hiyo
 
Maswala ya Protokali. Angalia vizuri kwenye Mkutano alikuwepo na Kila aliyeongea alikuwa ana muadress.
 
Salamu.Je inawezekana Rais Samia aende Airport kwenda kumpokea makamu wake Mipango.naamini ni maswala ya itifaki
 
Lissu ni mwanachadema na kama ilivyotegemewa angepokelewa na wanachadema. Sasa Mbowe ni mwana ccm kama alivyosema mwenyewe huko kwenye mkutano jijini mwanza wiki iliyopita
 
Cha ajabu nini? Mbona marais wetu wanapokelewa na mawaziri kisha kwenda kupokelewa na mkuu wa nchi ikulu?
 
we ni popo unataka hata kama alikuwa mgonjwa basi apone akampokee lisu.
Sjui kama ulimuona mbowe uwanjani wakiwa wamekumbatiana au la
 
Wewe hujui itififaki. Ulishaona Samia akienda uwanjani kumpokea Mpango? Rais anapokelewa na makamu siyo makamu kupokelewa na rais. Jielimishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…