Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara badala yake inainufaisha Arusha

Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara badala yake inainufaisha Arusha

Mara akuna hotel za maana za kufikia watali hizo hotel walipaswa wajenge watu binafsi na siyo serikali Arusha wazaliwa wa kanda hiyo wamejenga mahotel ya kifahari mara kutonufaika na mbuga sababu ni Wana mara wenyewe na Arusha kunufaika sababu ni wanaarusha kuona fursa
I kweli! Hapo nakuunga mkono kama wana Mara hawaendezi kwao wao ni kujazana Mwanza na Dar hawajali kwoa!

Mfano huko Majita ni umasikini na ngono na kurogana tu!

Tarime ndo iko vizuri na wafanyabiashara wengi mkoa wa mara ni watu wa Tarime!
 
Hebu watu wa Mara mlioko Mara mmechangia hapa hebu njoeni tena

Mara haina chuo kikuu je mikoa yote inachuo kikuu thou ina chuo lakini sio kama vya kina udsm kitu nyerere alikosea alitaka kuwa socialist kitu ambacho sio all african countries can na kila rais aliyekuja baada ake it was like kwangu kwanza kwako baadae

Mara haina hoteli nzur mmefika musoma mjini lakini au na ile expensive luxury hoteli ya grumeti iko dar nayo

Mara ni tarime au mnaisema kwasababu ya mgodi( tarime ni wilaya inayochangia mapato makubwa kwa mkoa huu).

Unaesema majita kuna umaskini mmh nmechoka akat majita wanafikiwa umeme ambao tarime vijijin awana au umaskini upi unasema tena.

Mara awalimi seriously au mnaongea mkiwa dar ukitoka bunda kuja musoma amuoni majaruba yabmashamba au.

Mara sio mji wa kuhamia guys let's be serious akat mkoa huu umebadilika sababu ya mwingiliano wa watu ambao sio wa uku kidogo ideology zao zimebadilika.

Mnasema watu wa mara wana roho mbaya mmh kitu ambacho si kweli nilivo kaa na awa watu wana ile there is limit to everything kaa kwa mipaka yako tutaishi vizuri zaidi ya apo ni watu poa sana.

Usicategorise sehemu yote kwa sababu ya sehemu ndogo uzuri huu mkoa ni mdogo aje mtu tuzunguke tarime na musoma yote afu turejeshe apa mrejesho.

Nimalizie tu kwa kusema wakati tokea nmefika huu mkoa mara umeme umekata nadra sana kutokea na 10 minutes unarud thou jana tu na ile siku mtu alipanda kwa nyaya za umeme ndo ilichukua 4hrs zaidi ya hapo umeme ni 24/7.

Hali ya hewa safi karibuni sana uku achaneni na habari za media uku tunanunua samaki bado anarukaruka na dagaa fresh ata azijakauka vizuri vegetables na vitu ksma nyanya etc vyote fresh from shamba.
 
Mara akuna hotel za maana za kufikia watali hizo hotel walipaswa wajenge watu binafsi na siyo serikali Arusha wazaliwa wa kanda hiyo wamejenga mahotel ya kifahari mara kutonufaika na mbuga sababu ni Wana mara wenyewe na Arusha kunufaika sababu ni wanaarusha kuona fursa
Mkuu ukifika Natta uko Serengeti kuna hoteli inaitwa singita grumeti ni expensive (world top hotel)kuliko hyatt regency mi mbishi nilibisha yani nikiwaza kihoteli cha mbugan kushinde hyatt regency i was puzzled sababu maisha yangu yalikuwa dar tu (sababu watu wote maarufu unaowafahamu wakijakuvisit au mapumziko Serengeti ufikia hapo) na iyo hoteli iko mkoa wa mara

nipe hoteli expensive inayoendana na hiyo dar niko apa nasubir kama hyatt ata mie nmeingia na kulala tena gym yake ndo kabisa, singita minimum 2500 per night mtu mmoja but depends na session, at the same time vindege vyao vinachukua watalii kutoka musoma Airport au kia direct tu Serengeti kwao pale

ebu mseme nan tycoon wa kuleta watalii nchini mnaomjua singita then mtajua ni wale wazee wa royal tour

I stand to be corrected
 
Wasaalam! Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.

Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Cha msingi ni Tanzania
 
LNG Project Trillion 71 Lindi, upo hapo!?
Imewanufaisha nini watu wa hiyo mikoa? Yani mahali siwezi kuishi hata kwa bakora basi ni Lindi na Mtwara

Ni ka laana flani kuishi hiyo mikoa ya kishamba sana
 
Wasaalam! Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.

Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Point hapa wepesi wa Jamii inayozunguka mbuga hiyo kuchangamkia fursa, infact yajengwe mahoteli na wafanyabiashara wa pande hizo makampuni ya tours yaanzishwe, kinachowatesa zaidi ni kulala usingizi na kuto changamkia fursa unayobakia kuitizama na kulalamika.
 
Achana na wakurya costa nyingi zinazofanya route tarime, bunda ni za wachaga

Wakurya wanafanya biashara nyingi za mazao sababu wanalima wao wenyewe mashambani mwao nikupeleka tu madukani mwao
Hapana acha uongo wachaga wawe na Coaster nyingi huko Tarime na Bunda?
Huko wakurya na wasukuma ndio wanacoaster nyingi mpaka ufike Mwanza coasted nyingi ni zal hata hapo stendi ya Nyamhongolo wenye magari mengi ni hao watu wa Mwanza na Tarime!
 
Wasaalam! Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.

Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Kuna ubaguzi wa wafanya biashara wa kaskazini wanashirikiana na watu wa Kenya badala ya kushirikiana au kuwekeza mkoa wa Mara au Mwanza ambako ndiko karibu na Serengeti, na Kanda ya ziwa hainaga shida na hilo kwa sababu maisha yao hayategemei huo utalii
 
Sasa Chadema Sera yake ya majimbo wakipewa nchi hawa si ndio watakuwa wa kwanza kusomeshwa namba?
 
Katika hizo mbuga ulizotaja inayotembelewa na watalii wengi ni Serengeti iliyopo mkoa wa Mara na ukiangalia distance kutoka Arusha mpaka Serengeti ni kubwa kuliko kutoka Musoma mjini to Serengeti.
Nkusahihishe kidogo mbuga ya serengeti iko between Arusha na Mara thou kwa sehemu kubwa iko mkoa wa Mara.

Asante
 
Arusha imezungukwa na vivutio vingi hivyo technically huwezi kukwepa kuweka miundombinu mizuri. Pia mgeni hadi afike Serengeti anakuwa kashatembelea Manyara na Ngorongoro ambazo ziko njiani akiwa anaelekea Serengeti. Mgeni akishukia KIA anaanza utalii kabla hata hajafika Serengeti. Mgeni mwingine anaweza kutembelea Tarangire, Manyara, Ngorongoro kisha Serengeti. Mimi nadhani watu wa Mara wangeongeza juhudi kwenye kuuza mayai.
 
Back
Top Bottom