Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Unaongea kwa chuki sasa mtwara imekuwa ya mwisho kwenye nini?Hapana Lindi ndio wa mwisho tena mwisho kushoto kabisa wakifuatiwa na Mtwara kule puuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea kwa chuki sasa mtwara imekuwa ya mwisho kwenye nini?Hapana Lindi ndio wa mwisho tena mwisho kushoto kabisa wakifuatiwa na Mtwara kule puuuh!
Huna akili, biashara ya mayai inafanywa na jamii moja tu kutoka wilaya ya Tarime Wakurya na siyo watu wote wa Mara.Arusha imezungukwa na vivutio vingi hivyo technically huwezi kukwepa kuweka miundombinu mizuri. Pia mgeni hadi afike Serengeti anakuwa kashatembelea Manyara na Ngorongoro ambazo ziko njiani akiwa anaelekea Serengeti. Mgeni akishukia KIA anaanza utalii kabla hata hajafika Serengeti. Mgeni mwingine anaweza kutembelea Tarangire, Manyara, Ngorongoro kisha Serengeti. Mimi nadhani watu wa Mara wangeongeza juhudi kwenye kuuza mayai.
Mkoa wa Mara wao wameshachagua fungu lao. Wanavyojisifu navyo ndiyo fungu lao.Wasaalam! Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.
Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Safi sana kwa hiyo Dozi ya Majibu uliyompa.Huna akili, biashara ya mayai inafanywa na jamii moja tu kutoka wilaya ya Tarime Wakurya na siyo watu wote wa Mara.
Jinga kabisa Wewe.
Cc: GENTAMYCINE
MADA: "Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara badala yake inanufaisha Arusha? "Mtu akiwa Arusha ni rahisi kupata access ya Tarangire, Ngorongoro, Serengeti kuliko akiwa Musoma, Bunda, Mwanza.
Sasa niambie mkuu.Selou game reserve kuna international airport? Kilwa, Ruaha kuna international airport?
Mimi ni expert, watalii wanaletwa na maajenti wazungu wenzao hawaji tu wenyewe.Sasa niambie mkuu.
Huko koote ulipopataja kituo kikuu cha utalii kinaanzia wapi?
Ni mji gani watalii hufika kabla hawapelekwa kutalii?
Au watoa huduma huanzia safari wapi?
Unajua kuwa watoa huduma wa kitalii hupatikana au wapo kwa wingi Zanzibar na Arusha?
Umeielewa mada vizuri mkuu?
Jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato liliwekwa na Rais Samia tarehe 31 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma.Hakuna kiwanja cha ndege kinachojengwa Dodoma, naishi hapa ingewezekana kushea live location yangu ungeona! twende ukanionyeshe kinapojengwa swahiba
Acha ndoto za mchana huku kuna mvua tu za kipumbavu
Muraaa, hariri ulichoandika ili tuelewe vizuri (una hoja nzuri).Hebu watu wa Mara mlioko Mara mmechangia hapa hebu njoeni tena
Mara haina chuo kikuu je mikoa yote inachuo kikuu thou ina chuo lakini sio kama vya kina udsm kitu nyerere alikosea alitaka kuwa socialist kitu ambacho sio all african countries can na kila rais aliyekuja baada ake it was like kwangu kwanza kwako baadae
Mara haina hoteli nzur mmefika musoma mjini lakini au na ile expensive luxury hoteli ya grumeti iko dar nayo
Mara ni tarime au mnaisema kwasababu ya mgodi( tarime ni wilaya inayochangia mapato makubwa kwa mkoa huu).
Unaesema majita kuna umaskini mmh nmechoka akat majita wanafikiwa umeme ambao tarime vijijin awana au umaskini upi unasema tena.
Mara awalimi seriously au mnaongea mkiwa dar ukitoka bunda kuja musoma amuoni majaruba yabmashamba au.
Mara sio mji wa kuhamia guys let's be serious akat mkoa huu umebadilika sababu ya mwingiliano wa watu ambao sio wa uku kidogo ideology zao zimebadilika.
Mnasema watu wa mara wana roho mbaya mmh kitu ambacho si kweli nilivo kaa na awa watu wana ile there is limit to everything kaa kwa mipaka yako tutaishi vizuri zaidi ya apo ni watu poa sana.
Usicategorise sehemu yote kwa sababu ya sehemu ndogo uzuri huu mkoa ni mdogo aje mtu tuzunguke tarime na musoma yote afu turejeshe apa mrejesho.
Nimalizie tu kwa kusema wakati tokea nmefika huu mkoa mara umeme umekata nadra sana kutokea na 10 minutes unarud thou jana tu na ile siku mtu alipanda kwa nyaya za umeme ndo ilichukua 4hrs zaidi ya hapo umeme ni 24/7.
Hali ya hewa safi karibuni sana uku achaneni na habari za media uku tunanunua samaki bado anarukaruka na dagaa fresh ata azijakauka vizuri vegetables na vitu ksma nyanya etc vyote fresh from shamba.
Kuna coaster zinaend mwanza kutoka musoma au umeandika basi tu sema unaongelea yale madcm na mabasi makubwaHapana acha uongo wachaga wawe na Coaster nyingi huko Tarime na Bunda?
Huko wakurya na wasukuma ndio wanacoaster nyingi mpaka ufike Mwanza coasted nyingi ni zal hata hapo stendi ya Nyamhongolo wenye magari mengi ni hao watu wa Mwanza na Tarime!
Tatizo mnapenda sana sifa za kijinga!Kuna coaster zinaend mwanza kutoka musoma au umeandika basi tu sema unaongelea yale madcm na mabasi makubwa
ili uende tarime au sirari kutoka musoma unatumia coaster ziko stendi ya bweri kutoka na mabasi ayafiki uku yakifika makutano yenyewe yanaend direct tarime
Then kuna short trips za coaster zenye route za bunda to musoma pamoja na zile michomoko
Tuseme mikataba but sababu kuu ni serenget ya mara iko managed na grumeti(owner ni mmarekani) tokea miaka ya nyuma so ni kama ameimonopolise kwa uku mara ambao wanaifidika ni serikali na wao wenyewe landa tusubiri baada ya miaka 99 kuishaMADA: "Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara badala yake inanufaisha Arusha? "
Nisamehe mkuu apo nmejitahidiMuraaa, hariri ulichoandika ili tuelewe vizuri (una hoja nzuri).
Hiyo ni mali taifa sio mali ya maraWasaalam!
Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.
Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Hotel ziko sasa za kulaza hao wageni huko mwz na maraKwasababu kanda ya ziwa hakuna international airport, kama ilivyo KIA kwa Kilimanjaro ndio maana Arusha inanufaika.
Pambaneni Mwanza kuwe na international airport ndio hiyo Mara itafaidika; tofauti na hapo ni ndoto.