I kweli! Hapo nakuunga mkono kama wana Mara hawaendezi kwao wao ni kujazana Mwanza na Dar hawajali kwoa!Mara akuna hotel za maana za kufikia watali hizo hotel walipaswa wajenge watu binafsi na siyo serikali Arusha wazaliwa wa kanda hiyo wamejenga mahotel ya kifahari mara kutonufaika na mbuga sababu ni Wana mara wenyewe na Arusha kunufaika sababu ni wanaarusha kuona fursa
Achana na wakurya costa nyingi zinazofanya route tarime, bunda ni za wachagaWakurya walivo wafanyabiashara nashangaa
Mfano nini...?Hadi leo mkoa ule ni wa mwisho kwa kila kitu. Jambo litaanzia sehemu zote na Mara ndio itakuwa ya mwisho.
Mkuu ukifika Natta uko Serengeti kuna hoteli inaitwa singita grumeti ni expensive (world top hotel)kuliko hyatt regency mi mbishi nilibisha yani nikiwaza kihoteli cha mbugan kushinde hyatt regency i was puzzled sababu maisha yangu yalikuwa dar tu (sababu watu wote maarufu unaowafahamu wakijakuvisit au mapumziko Serengeti ufikia hapo) na iyo hoteli iko mkoa wa maraMara akuna hotel za maana za kufikia watali hizo hotel walipaswa wajenge watu binafsi na siyo serikali Arusha wazaliwa wa kanda hiyo wamejenga mahotel ya kifahari mara kutonufaika na mbuga sababu ni Wana mara wenyewe na Arusha kunufaika sababu ni wanaarusha kuona fursa
Mkuu umemaanisha nini sijaelewa au nilivolewa ndo ivo ivoIla musoma wameishika huku dar wauza mayai n'a umalaya
Wako serious kwao tu ila udhaifu wao wanawakeMkuu umemaanisha nini sijaelewa au nilivolewa ndo ivo ivo
Ndo maana wanatoa wanasheria safi sanaWako serious kwao tu ila udhaifu wao wanawake
Cha msingi ni TanzaniaWasaalam! Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.
Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Imewanufaisha nini watu wa hiyo mikoa? Yani mahali siwezi kuishi hata kwa bakora basi ni Lindi na MtwaraLNG Project Trillion 71 Lindi, upo hapo!?
Nimesema kila kitu, unataka mfano tena wa nini?Mfano nini...?
Point hapa wepesi wa Jamii inayozunguka mbuga hiyo kuchangamkia fursa, infact yajengwe mahoteli na wafanyabiashara wa pande hizo makampuni ya tours yaanzishwe, kinachowatesa zaidi ni kulala usingizi na kuto changamkia fursa unayobakia kuitizama na kulalamika.Wasaalam! Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.
Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Hapana acha uongo wachaga wawe na Coaster nyingi huko Tarime na Bunda?Achana na wakurya costa nyingi zinazofanya route tarime, bunda ni za wachaga
Wakurya wanafanya biashara nyingi za mazao sababu wanalima wao wenyewe mashambani mwao nikupeleka tu madukani mwao
Kuna ubaguzi wa wafanya biashara wa kaskazini wanashirikiana na watu wa Kenya badala ya kushirikiana au kuwekeza mkoa wa Mara au Mwanza ambako ndiko karibu na Serengeti, na Kanda ya ziwa hainaga shida na hilo kwa sababu maisha yao hayategemei huo utaliiWasaalam! Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.
Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Mother tongue hadi kwenye kuandika??Mother tongue ndo tatizo
Selou game reserve kuna international airport? Kilwa, Ruaha kuna international airport?1. Mkoa wa Mara hauna international airport
.........................
Sasa Chadema Sera yake ya majimbo wakipewa nchi hawa si ndio watakuwa wa kwanza kusomeshwa namba?Kuna ubaguzi wa wafanya biashara wa kaskazini wanashirikiana na watu wa Kenya badala ya kushirikiana au kuwekeza mkoa wa Mara au Mwanza ambako ndiko karibu na Serengeti, na Kanda ya ziwa hainaga shida na hilo kwa sababu maisha yao hayategemei huo utalii
Nkusahihishe kidogo mbuga ya serengeti iko between Arusha na Mara thou kwa sehemu kubwa iko mkoa wa Mara.Katika hizo mbuga ulizotaja inayotembelewa na watalii wengi ni Serengeti iliyopo mkoa wa Mara na ukiangalia distance kutoka Arusha mpaka Serengeti ni kubwa kuliko kutoka Musoma mjini to Serengeti.