Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara badala yake inainufaisha Arusha

Huna akili, biashara ya mayai inafanywa na jamii moja tu kutoka wilaya ya Tarime Wakurya na siyo watu wote wa Mara.

Jinga kabisa Wewe.

Cc: GENTAMYCINE
 
Wasaalam! Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.

Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Mkoa wa Mara wao wameshachagua fungu lao. Wanavyojisifu navyo ndiyo fungu lao.
 
Mtu akiwa Arusha ni rahisi kupata access ya Tarangire, Ngorongoro, Serengeti kuliko akiwa Musoma, Bunda, Mwanza.
MADA: "Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara badala yake inanufaisha Arusha? "
 
Selou game reserve kuna international airport? Kilwa, Ruaha kuna international airport?
Sasa niambie mkuu.
Huko koote ulipopataja kituo kikuu cha utalii kinaanzia wapi?
Ni mji gani watalii hufika kabla hawapelekwa kutalii?
Au watoa huduma huanzia safari wapi?

Unajua kuwa watoa huduma wa kitalii hupatikana au wapo kwa wingi Zanzibar na Arusha?

Umeielewa mada vizuri mkuu?
 
Mimi ni expert, watalii wanaletwa na maajenti wazungu wenzao hawaji tu wenyewe.

Huwezi kuniambia Botswana ni Katibu kuliko kutoka Mwanza kwenda Serengeti, au kutoka Dar kwenda Serengeti.

Ukiona malori makubwa yamejaa wazungu ujuwe yanatoka Botswana na South Africa.

Agent wa Botswana anakula vichwa jumla mwamba ukifika Botswana utapata na access ya kwenda Mount Kilimanjaro Tanzania.

Tatizo kubwa la Tanzania wanaostahili kuwa na Madaraka wapo benchi na badala yake wajinga wengi ndio wenye Madaraka.

Ukiacha hiyo mbuga ya Serengeti hilo ziwa Victoria lenyewe linatumika effectively?
 
Hakuna kiwanja cha ndege kinachojengwa Dodoma, naishi hapa ingewezekana kushea live location yangu ungeona! twende ukanionyeshe kinapojengwa swahiba

Acha ndoto za mchana huku kuna mvua tu za kipumbavu
Jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato liliwekwa na Rais Samia tarehe 31 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma.

Inaonekana wewe hufuatilii mambo ya msingi, hujitambui au ni kijana wa ovyo sana wewe.
 
Muraaa, hariri ulichoandika ili tuelewe vizuri (una hoja nzuri).
 
Hapana acha uongo wachaga wawe na Coaster nyingi huko Tarime na Bunda?
Huko wakurya na wasukuma ndio wanacoaster nyingi mpaka ufike Mwanza coasted nyingi ni zal hata hapo stendi ya Nyamhongolo wenye magari mengi ni hao watu wa Mwanza na Tarime!
Kuna coaster zinaend mwanza kutoka musoma au umeandika basi tu sema unaongelea yale madcm na mabasi makubwa

ili uende tarime au sirari kutoka musoma unatumia coaster ziko stendi ya bweri kutoka na mabasi ayafiki uku yakifika makutano yenyewe yanaend direct tarime

Then kuna short trips za coaster zenye route za bunda to musoma pamoja na zile michomoko
 
Tatizo mnapenda sana sifa za kijinga!
 
MADA: "Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara badala yake inanufaisha Arusha? "
Tuseme mikataba but sababu kuu ni serenget ya mara iko managed na grumeti(owner ni mmarekani) tokea miaka ya nyuma so ni kama ameimonopolise kwa uku mara ambao wanaifidika ni serikali na wao wenyewe landa tusubiri baada ya miaka 99 kuisha

na ukiangalia ughali wa ile hotel ametarget world celebrities na ambao wanauwez wa kuafford all luxuries kama private jet to grumet


Mtanzania wa kawaida kuafford 2500dollar per night kwa mbuga ni wachache wengine tunategemea izi tour za 150k n so on

Ukifika kijiji natta around
grumeti ndo utakuta maendeleo ambayo ni kwa benefit ake remember grumeti ana own 250k+ acres za Serengeti
 
Wasaalam!

Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.

Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
Hiyo ni mali taifa sio mali ya mara
 
Kwasababu kanda ya ziwa hakuna international airport, kama ilivyo KIA kwa Kilimanjaro ndio maana Arusha inanufaika.

Pambaneni Mwanza kuwe na international airport ndio hiyo Mara itafaidika; tofauti na hapo ni ndoto.
Hotel ziko sasa za kulaza hao wageni huko mwz na mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…