Kwanini mchambuzi Oscar Oscar alifukuzwa kipindi cha michezo E FM?

Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.

Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Yani Kazumari unamweka miongoni mwa wachambuzi mahiri? Aisee. Kweli Mungu katuumba tofautitofauti.
 
Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.

Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Jemedari Said ni mchambuzi mahiri wa matukio ya nje ya dakika 90.

Na uchambuzi wake upo kwa Yanga tu.
 
Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.

Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Duuuh... Mpaka kipara mawani yupo?
 
Back
Top Bottom