Kwanini mchambuzi Oscar Oscar alifukuzwa kipindi cha michezo E FM?

Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.

Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Bila kumuweka ticha, Tigana lukinja hiyo list yako ni ya mchongo
 
Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.

Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Mkuu, huyo namba 3 ndio sahihi haswa na mwengine ni Amri Kiemba.
 
Wakuu nini kilichopelekea mchambuzi mahiri wa soka, Oscar Oscar kutimuliwa kwenye kipindi cha michezo cha E FM na kupelekwa vipindi vya wanawake vinavyozungumzia umbea?

Maana sasa hivi anatangaza kipindi kimoja na Dina Marios!
Kulitokea Ugomvi wa Maneno na Kuchukiana kati yake na Mchambuzi Mwenzake Jemedari Said.

Wote wawili ni Mashabiki lia lia wa Yanga SC ila kwa sasa Jemedari Said ana Chuki ya Kimaslahi na Yanga SC huku Oscar Oscar akiwa na Ukaribu na Matajiri na Wadhamini wa Yanga SC akina GSM.

Mwisho wote Wawili Oscar na Jemedari wanajiona ni Magalacha ( Mafundi ) katika Uchambuzi wa Mpira hali ambayo inapelekea Kudharauliana huku kila Mmoja akijiona yuko juu ya Mwenzake.

Kiutendaji na kama kweli unatafuta Ufanisi wa Kipindi kuwaweka hawa Wawili na hivi wakiwa na Uhasama wao huku wakiwa Wameshajibizana Ofisini ( Kipindini ) ni Hatari Kubwa hivyo kwakuwa Chombo ( EFM Radio na TvE ) inajua Potential yao na Upeo wao mkubwa ( hasa Kiakili ) Suluhu ilikuwa si Kuwafukuza bali ni Kuwatenganisha tu katika Vipindi huku Juhudi za Kuwapatanisha zikifanyika taratibu na kwa Umakini mkubwa.
 
Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.

Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Mpaka sasa katika Historia hakuna Wachambuzi wa Soka waliowahi kuwafikia au hata tu Kuwazidi hawa Nguli wafuatao.....

1. Dk. Leakey Abdallah
2. Haji Manara
3. Sapi

Na hawa ndiyo Waanzilishi wa 99% ya Wachambuzi wote wa Soka Tanzania kuanzia kwa akina Shaffih Dauda, Saleh Ally, Ali Mayai na hawa Uliowataja hapa.

Kama mwana Simba SC nina Bifu na Haji Manara ( Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC ) ila GENTAMYCINE nikiacha Unafiki na Chuki huyu Jamaa ( Haji Manara ) yuko vizuri sana Kiuchambuzi na anajua mno Mpira wa Tanzania na huko Duniani.
 
Jemedari mtoe hapo
 
Dr leaky abdallah alikua anajua story za mpira,hakuwa mchambuzi wa mpira...kipindi kile hatukujua vya kutosha kuhusu mpira tukamuona mwamba
 
Naheshimu Maoni yako kama ambavyo nawe unatakiwa Kuyaheshimu yangu.
 
Wakuu nini kilichopelekea mchambuzi mahiri wa soka, Oscar Oscar kutimuliwa kwenye kipindi cha michezo cha E FM na kupelekwa vipindi vya wanawake vinavyozungumzia umbea?

Maana sasa hivi anatangaza kipindi kimoja na Dina Marios!
Huyo nae Ni mchambuzi gani mahiri yule bangi mbuz kbsa HV unaaka nawew unamsikikiza oscar redioni
 
Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....

1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.

Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Mtoe jemedari hapo mganga yule siyo mchambuzi
 
Back
Top Bottom