Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Yani Kazumari unamweka miongoni mwa wachambuzi mahiri? Aisee. Kweli Mungu katuumba tofautitofauti.Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....
1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.
Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Ila ni raha sana ukitetewa na mke wako kama hivi....Oscar mmoja =Mbumbumbu kama nyinyi 1000. Oscar anajitambua na anajua jamii yetu inataka Nini. Ukiwa serious nchi hii hutoboi, Yeye ana enjoy kile anacho kifanya na anapata fedha na Umaarufu Kwa pamoja.
Jemedari Said ni mchambuzi mahiri wa matukio ya nje ya dakika 90.Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....
1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.
Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jemedari Said ni mchambuzi mahiri wa matukio ya nje ya dakika 90.
Na uchambuzi wake upo kwa Yanga tu.
Duuuh... Mpaka kipara mawani yupo?Oscar Oscar hajawahi kuwa mchamuzi mahiri wa soka.
Wachambuzi mahiri wa soka Tanzania ni....
1.Theogenes Alex kASHASHA.
2. George Ambangile
3. Jemedari said Kazumari.
Wengine wooote unaowajua ni wapiga kelele wa soka.
Unamsikia tena kwenye sports HQ? Yupo na Dina Marios wakipiga umbeqUna barua yake ya kutimuliwa?
Jibu swali. Ile ni ofisi kuna job allocation na job rotation. Una barua yake ya ajira?Unamsikia tena kwenye sports HQ?