Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
KMC 0 Yanga 1 mkuuNaomba matokeo ya mechi ya Leo please
Najiuliza awaJe Yanga ni wachawi? Je huwa wanatoa laana kwa wachezaji wanaohama klabu yao?
Mifano iko wazi kama ifuatavyo...
Frank Domayo alitoka Yanga akiwa fomu sana akaenda Azam Fc. Kila mmoja ni shahidi juu ya kilichomkuta Domayo. Goti linamuuma mpaka kesho, na hajawahi kurudi katika ubora wake.
Mrisho Ngassa alipoihama Yanga na kwenda Azam Fc uwezo ukaisha hapohapo.
Dider Kavumbagu alipoondoka Azam Fc kutoka Yanga aliishia kuchemsha.
Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima "Fabregas" alipoihama Yanga kwa mbwembwe na kutua Simba, hakuna asiyejua kinachomsibu kiungo huyo fundi wa mpira, amekuwa mchezaji.wa kawaida sana.
Yanga punguzeni misumari, msiwabanie wachezaji, wenzenu wanatafuta maisha
Je Yanga ni wachawi? Je huwa wanatoa laana kwa wachezaji wanaohama klabu yao?
Mifano iko wazi kama ifuatavyo...
Frank Domayo alitoka Yanga akiwa fomu sana akaenda Azam Fc. Kila mmoja ni shahidi juu ya kilichomkuta Domayo. Goti linamuuma mpaka kesho, na hajawahi kurudi katika ubora wake.
Mrisho Ngassa alipoihama Yanga na kwenda Azam Fc uwezo ukaisha hapohapo.
Dider Kavumbagu alipoondoka Azam Fc kutoka Yanga aliishia kuchemsha.
Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima "Fabregas" alipoihama Yanga kwa mbwembwe na kutua Simba, hakuna asiyejua kinachomsibu kiungo huyo fundi wa mpira, amekuwa mchezaji.wa kawaida sana.
Yanga punguzeni misumari, msiwabanie wachezaji, wenzenu wanatafuta maisha
Kwa Aizakiel sio kweli aliwika akiwa Simba zaidi ya Yanga.Umeweka hapa hoja ya msingi sana siyo akienda Azam tu bali hata Simba...huo ndio ukweli na sijui kuna nini, binafsi huwa sielewi pia... historia inaonyesha hivyo...Ezeckiel Greyson ilikuwa hivyo aliwika Yanga miaka ya 70 na alipokwenda Simba ikawa nidyo mwisho wa enzi...wapo wengi tu akina Omari Hussein, Maulid Dilunga, Edibily Lunyamila na kadhalika na kadhalika...Baadhi yao kama akina Omari Hussein, Said Mwamba na Lunyamila na pia Mohammed Hussein walirudi tena Yanga na wakatulia...
Ila mchezaji akitoka Simba na kuja Yanga nyota yake huwaka maradufu...Kama akina Method Mogella, Yondan, Deo Munishi, Ajib na wengine wengi tu...
Ukiona mchezaji ametoka Yanga na kwenda Simba wewe mhurumie tu....ni sawa na wachezaji wa Arsenal wengi wao wakitoka timu hiyo na kwenda timu nyingine hucheza kwa msimu mmoja tu na kupotea...
Kwa Aizakiel sio kweli aliwika akiwa Simba zaidi ya Yanga.
Said Mwamba alifanya vizuri Simba.
Je awa mbona ujawataja
Steven Nemes
Mohamed Banka
Yusuph Macho
Amri Kiemba
Thomas Kipese
Athuman China
Godwin Aswile
Amiri Maftah
Kuna yule mkenya Baraza sikumbuki jina la mwanzo
Nico Bambaga
Pitia kumbukumbu zako vizuriWachezaji wengi uliowataja hawakuwika kwa muda mrefu walipokuwa Simba..Kiemba alikaa muda mfupi sana labda mwaka na sawa na China ambaye baadaye alikwenda ulaya. Hata Kipese hakucheza misimu miwili Simba kwa kumbukumbu zangu na pia Maftah. Nico Bambaga naye hakudumu sana na hata Aswile hakuwika zaidi ya misimu miwili...Banka??? Huyo nadhani alidumu msimu mmoja tu...Nemes?? huyu labda misimu miwili au mmoja na nusu,
Pitia kumbukumbu zako vizuri
China amecheza miaka mingi Simba baada ya kutoka England kutafuta timu na kumalizia mpira wake Simba alipotoka hapo alienda kwa vitu vingine
Kipese alijiunga na Simba alicheza miaka mingi na miongoni mwa wwchezaji waliowezesha Simba kufika fainal ya kombe la CAF hadi ameacha kucheza mpira
Amri Kiemba amecheza Simba na alikuwa Star kipindi chake
Yusuph Macho pia
Nico Bambaga amecheza Simba kwa mafanikio sana hadi ameacha kucheza
Banka amecheza vizuri Simba kuliko Yanga kumbuka wakati yupo Yanga alikuwa ana majeraha kila wakati
Mmmmhhh aisee sina hakika sana ngoja waje wengine wenye kumbukumbu nzuri maana kwangu mimi kipese na china sioni kama walichezea Simba kwa mafanikio...pengine labda Nico Bambaga baada ya kutoka nadhani Malindi alicheza kidogo huko Simba lakini siyo kwa mafanikio...
SawaMmmmhhh aisee sina hakika sana ngoja waje wengine wenye kumbukumbu nzuri maana kwangu mimi kipese na china sioni kama walichezea Simba kwa mafanikio...pengine labda Nico Bambaga baada ya kutoka nadhani Malindi alicheza kidogo huko Simba lakini siyo kwa mafanikio...
Amri Kiemba timu aliyochezea mda mrefu ni Simba.Wachezaji wengi uliowataja hawakuwika kwa muda mrefu walipokuwa Simba..Kiemba alikaa muda mfupi sana labda mwaka na sawa na China ambaye baadaye alikwenda ulaya. Hata Kipese hakucheza misimu miwili Simba kwa kumbukumbu zangu na pia Maftah. Nico Bambaga naye hakudumu sana na hata Aswile hakuwika zaidi ya misimu miwili...Banka??? Huyo nadhani alidumu msimu mmoja tu...Nemes?? huyu labda misimu miwili au mmoja na nusu,
Alikujibu Kweli Hapa MkuuNajiuliza awa
1- Mohamed Banka Simba
2 - Yusuph Macho
3 - Athuman China
4 - Steven Nemesi
5 - Aizakiel Grayson Jujuman
6 - Amri Kiemba
Nao hao walichemsha
Banks na Musso nimewashuhudia. Ila kwa kizazi cha sasa kiukweli wanachemsha sanaNajiuliza awa
1- Mohamed Banka Simba
2 - Yusuph Macho
3 - Athuman China
4 - Steven Nemesi
5 - Aizakiel Grayson Jujuman
6 - Amri Kiemba
Nao hao walichemsha