Kwanini Mchezaji akitoka Yanga kwenda Timu Nyingine Lazma Achemshe

Nonda Shaaban alichemsha eeh?
 
Wala hakuna uchawi wowote, Msuva, Harieth Makambo walitoka Yanga na wanaendelea vizuri, bila kumsahau Nonda Shaaban Papii aliyetoka Yanga akakipiga mpaka Monaco.
 
Mbn Makapu hajachemsha na Kaenda ndani ya 2 months kachukua Ndoo Zambia?..
Gadiel Michael na Ajib Migomba mbn wanakipig na wameshachukua ndoo nyng mno na wana maisha ..magar mijengo madem etc au unazungumzia mafanikio yapi
 
Amri Kiemba timu aliyochezea mda mrefu ni Simba.
Amri, alitoka Simba akaenda Yanga Akacheza mwaka mmoja, akarudi Simba.
Labda umepoteza kumbukumbu.
Wewe ndio hauna kumbukumbu Kiemba alianzia yanga kabla ya kwenda timu nyongine na kusajiliwa simba
 
Mbona hamumsemi Dilunga alichemsha yanga lakini yuko Simba anang'ara kuliko alipokuwa yanga au Nchimbi alipokuwa polisi na sasa yanga
 
Mashabiki wa Yanga huwa wanajua sana kuwapenda wachezaji wao huwa wavumilivu sana kwa wachezaji wao, Sasa akihama kwa kejeli nahisi huwa kama Kuna laana flani hivi wanampa
Mpaka kwa vilabu vikubwa ni Simba na Azam pekee ndiyo zina wachezaji ambao walau wamedum klabuni hapa kwa misimu mitano na kuendelea.

Yanga mnawapenda vipi wachezaji wenu ambao hawadumu zaidi ya misimu mitatu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…