mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Mayele katufumbua macho . MAJINI fc iogopwe kama ukoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilichukua CAF champions LeagueMsuva hakuchukua CAF Champions League na Wydad.
Wydad ya kina Msuva ilitolewa Semi final na Al Ahly na msimu uliofuata ilitolewa na Kaizer chiefs.
😁😂Je Yanga huwa wanatoa laana kwa wachezaji wanaohama klabu yao?
Mifano iko wazi kama ifuatavyo...
Frank Domayo alitoka Yanga akiwa fomu sana akaenda Azam Fc. Kila mmoja ni shahidi juu ya kilichomkuta Domayo. Goti linamuuma mpaka kesho, na hajawahi kurudi katika ubora wake.
Mrisho Ngassa alipoihama Yanga na kwenda Azam Fc uwezo ukaisha hapohapo.
Dider Kavumbagu alipoondoka Azam Fc kutoka Yanga aliishia kuchemsha.
Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima "Fabregas" alipoihama Yanga kwa mbwembwe na kutua Simba, hakuna asiyejua kinachomsibu kiungo huyo fundi wa mpira, amekuwa mchezaji.wa kawaida sana.
Yanga msiwabanie wachezaji, wenzenu wanatafuta maisha
Na yalikupiga 5 hayoMayele katufumbua macho . MAJINI fc iogopwe kama ukoma
Endeleeni hivyo hivyo na ujinga wenuHUuu Uzi utaishi miaka Elfu.
Utopolo siyo sehemu sahihi kwa Mchezaji mwenye malengo tulishasema na tutaendelea kusema. Kuanzia Viongozi na Mashabiki ni watu wenye akili kisoda na husda sana. Hizi aibu zitaendelea kuwaandama wasipo badilika
Hapo sawa kwenye squad list alikuwepo lakini alikuwa na msimu mzima hacheziWydad ya msuva ndio ilichukua klabu bingwa,ila yy akuwepo kikosini alisusa sababu ya kimaslahi
baada ya miaka mitano jibu ndio limepatikana, mayele amesema utopolo Wana majiniJe Yanga huwa wanatoa laana kwa wachezaji wanaohama klabu yao?