ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Bodi ya Ligi inamtafuta Nini Yanga, yani wamepanga mechi za yanga mwishoni mwa mwezi wa Sita , yanga anacheza Leo tarehe 13.05.25 , mechi ingine inayofuata ni tarehe 18.05.25 mechi ingine ni tarehe 15.06.25 hapo Kuna gape la siku 27 yanga atakuwa hajacheza mechi, hii imefanywa makusudi Ili kutengeneza ushindi Kwa Simba kwakuwa yanga hatakuwa na match fitness ya kutosha.
Simba anacheza tarehe 17.05.25 then tarehe 25.05.25 then tarehe 28.05.25 then tarehe 15.06.2025 sikun 16 kabla ya derby tofauti na siku 27 za yanga. Wanataka yanga acheze derby akiwa Hana fitness bila sababu. Kwanini baada ya tarehe 18.05.25 yanga wasipangiwe mechi ya Ligi kati ya tarehe 21- 27/05/2025
Ndo mana tunasema hatuchezi