Kwanini Membe alazimishwe kumsamehe Musiba wakati maaskofu hao walikaa kimya Musiba alipomtukana Membe?

Kwanini Membe alazimishwe kumsamehe Musiba wakati maaskofu hao walikaa kimya Musiba alipomtukana Membe?

Kwani kuna mwenye kuishi milele? Au kumsamehe msiba kungempa guarantee ya kuishi. Mbona takataka yenu iliondoka?
Amsamehe musiba kwa kosa gani alilo fanya acha upumbavu wa kunusa chypiii za wanawake ...zuzu wa head mkubwa ww
 
Perhaps was his last chance Ila akakaza fuvu
 
Mkuu relax..!
Huu ni ukumbi wa hoja kujibiwa kwa hoja. Matusi hayaongezi uzito wa comment yako bali yanakuondolea weledi.
Shangilia wewe boya wacha ufala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji125][emoji125][emoji91][emoji95][emoji95][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Watanzania tuache unafiki. Wakati Musiba anamtukana membe watu wote tulisikia na hao maaskofu walisikia.

Wananchi tulinyamaza hakuna aliyesimama kumkaripia au kumkataza musiba asimtukane membe na hata hao maaskofu walikaa kimya.

Mzee Membe na familia yake na marafiki zako walikubali aibu ya kutukanwa na musiba na kuamua kumshtaki na kushinda kesi. Mzee Membe bado alionesha uungwana wa kumtaka Musiba aombe msamaha lakini alikataa na wala hao maaskofu hawakutaka kumsihi Musiba akamwuombe msamaha mzee Membe bali walikaa kimya.

Najiuliza kwanini leo hao maaskofu ndio wanajitokeza kumtaka Membe amsamehe Musiba?

Kwanini kipindi Musiba anamtukana Membe walikaa kimya?

Kwanini Membe alipotaka musiba amwombe msamaha hawakumtaka Musiba aende?

Kwanini leo maji yamemfika Musiba shingoni ndio hao maaskofu wajitokeze?

Maaskofu acheni unafiki, Membe hamkumtendea haki na Musiba mwacheni apambane kama membe alivyopambana.

Unafiki ni dhambi.
Mmemponza!
 
Watoto wa mjini (Mafia)hawajawahi kushindwa kitu.

Walitakalo huwa,ile timu moja haina Dola zaidi ya uchawi,timu nyingine na Dola na uchawi,ukishindwa kusamehe revenge,tutasoma Tanzia mpaka tuseme poo
Nilijua tuu utaibuka , hatuna cha kupoteza Sisi , cha msingi anayekatiza mbele yetu huyo ni Halali yetu
 
Watoto wa mjini (Mafia)hawajawahi kushindwa kitu.

Walitakalo huwa,ile timu moja haina Dola zaidi ya uchawi,timu nyingine na Dola na uchawi,ukishindwa kusamehe revenge,tutasoma Tanzia mpaka tuseme poo
Huijui Gamboshi wewe!! Kwanza wewe ulileta uzi huu kesho saa 7.39 mchana unafariki!!!

Sasa hao watakofuatia mtakutana nao motoni
 
Back
Top Bottom