Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mfalme Zumaridi na Makerubi wake wakiingia kanisani.
Huenda hata mi ni kerubi lakini sijijui. Jamani mkiniona huko nikomboeni, nipelekeni Mirembe fasta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina wasi wasi huyu Zumaridi huenda akawa mke wa Baba mkwe wako uliko enda kipindi cha Christmas.View attachment 2137921
Mfalme Zumaridi na Makerubi wake wakiingia kanisani.
Huenda hata mi ni kerubi lakini sijijui. Jamani mkiniona huko nikomboeni, nipelekeni Mirembe fasta
Wachawi wale walimvua nguo jamaa mchana kweupe, huyu ajiangalie sanaNina wasi wasi huyu Zumaridi huenda akawa mke wa Baba mkwe wako uliko enda kipindi cha Christmas.
Yaani harafu mwendelezo kagoma kuleta yaani sijui walimfanya nini kingine.Wachawi wale walimvua nguo jamaa mchana kweupe, huyu ajiangalie sana
Yaani harafu mwendelezo kagoma kuleta yaani sijui walimfanya nini kingine.
Ngoja aje tunataka amalizie mikasa hiyoSijawahi kuona ameendeleza lolote. Hata la msukule wa Mbezi Beach
Hah haaaNina wasi wasi huyu Zumaridi huenda akawa mke wa Baba mkwe wako uliko enda kipindi cha Christmas.
We mzeeView attachment 2137921
Mfalme Zumaridi na Makerubi wake wakiingia kanisani.
Huenda hata mi ni kerubi lakini sijijui. Jamani mkiniona huko nikomboeni, nipelekeni Mirembe fasta
Shika lolote lileMara mfalme, mara mungu, tushike lipi sasa
Aisee, Tubuni na mkamilishe bwawa la Nyerere kama redemption
Utasikia anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM.Mara mfalme, mara mungu, tushike lipi sasa
Aisee, Tubuni na mkamilishe bwawa la Nyerere kama redemption
Uchawi una miujiza yake. Unaweza kudhani unatembea kawaida kumbe usharogwa unatembea mwendo wa Michael Jackson makaburiniWe mzee
Kwani nawe unatembea kizombi zombi?
Sipati picha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chama laoUtasikia anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM.
Gwajima naye alidanganya kumfufua Amina Chifupa CCM wakampa ubunge