Kwanini Mfalme Zumaridi na Makerubi wake wanatembea kama mazombie?

Hakuna kesi pale hata kwa mwanasheria bushlawyer labda police tu ndo Wana bifu nae kwa kuwachana / kuwagomea sababu police hawakufuata taratibu za ukamataji.
Kuhusu ishu ya Kanumba ni true still yupo duniani kwa macho ya mwili huwezi muona,si mara ya kwanza kusikia ushuhuda kuhusu uwepo wa Kanumba.
 
Baada ya Kanumba kujiunga freemason wakamuonjesha pesa na umaarufu akanogewa kuna kosa alifanya akapewa adhabu atoe kafara watu watano wa familia yake Mama yake mzazi akiwemo wa mwisho. Kanumba alitoa Siri za freemason kupitia move ya devil kingdom pia alitoa single ya nitayainua macho yangu akiwa kama mtu aliyekwenye shida fulani kiroho. Freemason wakagundua anataka kuwakimbia, baada ya kuona masharti aliyopewa ni mazito na mda kafara aliopewa unakaribia kwisha akawa anatapa tapa mara aende kwa Kakobe mara wapi. Lulu alitumika kama kivuli tu lakini tayari walikuwa washamchukua na ndo maana lulu akupewa kesi ya mauaji na hakukaa mda mrefu jela.
Still lile agano la wale watu watano wa familia yake ni lzm litimie akiwemo mama yake kama ajasimama vizuri na mola wake. Mali zake zote zimerudi freemason. Freemason kuna kiapo cha damu ukitoa Siri au ukitaka kujitoa adhabu yake ni kifo na mali zao wanachukua, mali zao zina muhuri kama sio freemason huwezi uona huo muhuri.
Zumarid ni cult anatumia roho ya yezeebul kuponya na kutenda miujiza si mfuasi wa Kristo, anatumia kibali cha usajili cha Makanisa ya Pentecostal lakini mafundisho yake si ya Kipentecoste. So kusema anamuona Kanumba au kumleta Michael Jackson ni true kwa macho ya giza sababu hawa wote wapo kwenye magereza ya freemason.


Babu wa loliondo ni mpango wa kuzimu thus kuna baadhi ya wachungaji waliwaonya waumini wao wasiende kwenye kikombe.

Si kwamba huwezi toka freemason unaweza wapo wengi tu walikuwa huko walitoka lakini kwa misuko suko tele wakiwindwa wapi. Ukiamua toka freemason shikamana Sana na Yesu Kristo ukimuacha tu ni lazima watakuuwa pia mali zao zote warudishie Ili kusiwepo na connection yeyeto ya kukufatilia sababu mali zao zote wanazokupa wanazipiga bar codes na zinaonekana popote.
 

Attachments

  • VID-20220305-WA0008.mp4
    3.8 MB
Mshana Jr je ya kweli haya?
 
Huyu ni mpuuzi mmoja tu.
Mkuu usimtukane mtu kwa kuiga mitume waliopita. Fikiria ulichoandika kisha fikiria na mitume waliopita walikuwa wanafanya nini. Dini ni usanii tu na ndiyo maana mitume waliopita na hawa wa kisasa wote wanafanya vituko vile vile tu. Waafrika wengi hawajitmbui akili, mtu anakariri kitu tu bila hata kujuwa historia yake, very sad na ndiyo maana tunazidi kuchezewa akili tu kama mazombie.
 
No wonder akina Gwajima wanaendelea kutajirika! Yaani kabisa uko serious na hii post yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…