Kwanini mgeni akiulizwa "unaondoka lini" inakuwa nongwa?

Kwanini mgeni akiulizwa "unaondoka lini" inakuwa nongwa?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Swali linajieleza kabisa. Hili lipo sana kwenye familia za Kiafrika.

Nimepokea mgeni, kutokana na mipangilio ya kifamilia na kibajeti nalazimika kumuuliza atakaa hapa ugenini kwa muda gani.

Mara mgeni anaanza kusambaza taarifa mimi ni mbinafsi, sitaki kutembelewa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Maisha Sasa hivi yamekuwa magumu Sana ,mtu analisha familia yake kwa 5000-10,000 kwa siku halafu we mgeni ukikaa mezani unapasua hotpot nusu kidogo inaleta utata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali linajieleza kabisa. Hili lipo sana kwenye familia za kiafrika.

Nimepokea mgeni,kutokana na mipangilio ya kifamilia na kibajeti nalazimika kumuuliza atakaa hapa ugenini kwa muda gani.

Mara mgeni anaanza kusambaza taarifa mimi ni mbinafsi,sitaki kutembelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku nilikua naangalia movie nikaona mama mzazi kaja as a surprise mwanae akamuuliza what are u doing here? Mama akajibu i came to visit. How long will u stay mama akajibu two weeks ikapita... nikawaza mama yangu nimuulize what are u doing here and how long will u stay si ntabaki yatima mie [emoji2302][emoji2302][emoji2302][emoji2302]
 
Huu uzalendo wa kuvumilia wageni ni mgumu sana hasa life la mjini.

Vijijini ni kawaida, gharama za maisha huko ni simple, watu wanajilia ugali wa mazao waliyolima sio kama huku mjini tunaotegemea kilo kadhaa za unga kwa mangi, bado makorokocho ya mboga yanahitaji vijisenti.

Tujitahidi kuzidisha ukarimu ili tuweze kuhimili mambo kama haya kwenye jamii zetu
 
Swali linajieleza kabisa. Hili lipo sana kwenye familia za kiafrika.

Nimepokea mgeni, kutokana na mipangilio ya kifamilia na kibajeti nalazimika kumuuliza atakaa hapa ugenini kwa muda gani.

Mara mgeni anaanza kusambaza taarifa mimi ni mbinafsi, sitaki kutembelewa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ikiwa unapata ujasiri wa kuuliza mgeni unaondoka lini oooh my friend wewe miongoni mwa kizazi Che serpent.
Unaanza Anza aje kwanza? ๐Ÿ˜‚
 
Kuna siku nilikua naangalia movie nikaona mama mzazi kaja as a surprise mwanae akamuuliza what are u doing here? Mama akajibu i came to visit. How long will u stay mama akajibu two weeks ikapita... nikawaza mama yangu nimuulize what are u doing here and how long will u stay si ntabaki yatima mie [emoji2302][emoji2302][emoji2302][emoji2302]
Wengine makabila yetu ndo unatafuta kutengwa tu maana km maisha yako ni magumu ni bora kusema ila sio kujifanya una roho kigiriki
 
Back
Top Bottom