OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #41
haya ndio maneno sasaMie napenda wageni maana sina ndugu labda kusema hana issue aje tu kukaa kwangu. Kila mtu ana issues zake. Hata mimi nikienda nyumbani mama ataniuliza hilo swali ni kama kautaratibu hivi haina kukomeshana ni kuangalia jinsi gani utaspend time na mtu wako.
Kama atakaa siku mbili inabid uache na shughuli nyingine ufocus kwake kwa muda huo mchache