Tulikuwa tunaona kwenye michezo TV watu wakifika mjini wanasahau ndugu zao ndo haya sasa, kuna watu wakifikaga mjini wanajionaga kama wako kwenye bunge la bajeti kila kitu atataka akipigie hesabu hasa wale wenye vipato flani ivii, halafu malofa ya hivi yanaongoza KUHONGA balaa
Unamuuliza ndugu yako utakaa siku ngapi huku dhamira yako ya ndani ni kuexamine damage/burden atakayokuletea huo ni Uchoyo Roho Mbaya tu
Jiulize ukishindwa kumsaidia ndugu yako nani amsaidie?? Ni maana ya undugu, kama huna kitu mwambie kwa staha na hata yy mwenyewe atajionea.
Tuache kuigaiga umagharibi f**ck off.