ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Mgogoro wa ardhi baina ya Palestine na Israel unavuta Sana hisia za watu wengi ulimwenguni
Huu mgogoro ni wa ardhi. Tukiangalia kuna migogoro mingi Sana ya ardhi duniani.
Mfano:
1) India na Pakistan
2) China na India
3) China na Philippines
4) Nigeria na Cameroon
5) Tanzania na Malawi
Migogoro ipo mingi, kwanini huu mgogoro unavuta Sana hisia za watu ulimwenguni?
Tunaona dini mbalimbali zikijiingiza. Serikali nyingi ulimwenguni zinajiingiza. Kuna nini kwenye huu mgogoro?
Wataalamu mtujuze