Kwanini miaka hii ya karibuni wanaume wanajipamba kuliko wanawake au kufikia kuwazidi wanawake

Kwanini miaka hii ya karibuni wanaume wanajipamba kuliko wanawake au kufikia kuwazidi wanawake

Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume mweupeee kama yai.....ananukia kama sijui nini daah ebu jamani sisi wazamani shida nini
We ulijuaje ni Mwanaume? Ulimuuliza jina au Jinsia? Je kama ni Others?

Acha Matusi Wanaume Tuheshimiwe tusifananishwe na Vitu vya ajabu.
 
Mtoa mada lazima uelewe si kila mwenye "BOLO" ni mwanaume!wengine wanayo ya urembo tu,wengine KAMA chaja za kobE inapelekewa moto nayo inapeleka moto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Back
Top Bottom