Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Mimi ni Mkristo!

Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!

Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?

Hivi unaenda mgahawani unauliza Dini?
 
Hivi kweli kabisa umeshindwa hata kuazima akili ya jirani ili ututoe katika kujadili uzi wa kidini!? Shame on you!!!
 
Kuna ki restaurant hapa arusha kinaitwa mwambao kinamilikiwa na wazenji kuna pilau mbuzi haijawahi kutokea, hapa kesho Christmas nina mpango wa ku lunch pale
Ni pilau inayosifika zaidi hapa arusha
Watu wa pwani wanajua kupika sababu maeneo yao kuna spices nyingi na wamekuwa nazo wanafahamu kuzitumia vizuri

Zamani pale S****** Tanzania Kati palikuwa na mgahawa maarufu wa uji. Watu walijaa daima. Siku mmoja mlevi alifika pale na akapitiliza hadi uani. Huko alikuta vioja. Alirudi ndani ghafla na kueleza kila kitu alichoona kule uani jikoni. Mgahawa ukapoteza sifa yake kutokana na vifaa vilivyokuwa vikitumika kupakulia uji ule.
 
Sikuhuzi mapishi tunagoogle na you tube, mbovu jikoni ni uvivu wake tu.

Madada huku Bara hawajui kupika,hiyo ni kweli kabisa!
Xmass nipo kijijini ni nimekula wali hapo hotelini wamechanganya na vitunguu na samaki wabichi dagaa wameunga karanga
Daaah!
 
Kama kuna ukweli fulani, labda kwa sababu wengine hawana muda wa kusoma elimu dunia basi wanashinda jikoni.
hta kule kusinii aka chini ya kitovu usafi ni sifuri uko bize na kuelimikaa namna gani ufanye ufisadi
 
REMIX:::Wachaga mpooo!!!----#Zenji hakuna machalari
 
Kila eneo wana utabe wa mapishi yao kaskazini tukuchomee nyama na na mtori hutochomoka pwani tukupikie wali na samaki wa nazi urojo na bites zote utalala same kwa tanga,moro wakupikie wali utakaa kabisa kanda ya ziwa tukupikie dagaa na samaki utatamani urudie tena...lakini kingine mapishi ni kipaji na ubunifu wali mwngne atakuwekea iriki na binzari mwngne atakuwekea mafuta na chumv tu so apo kuna kaubunifu
 
Wakiristo wanajua kuchoma nyama za kunywea pombe , chunguza majiko yote bar za Dar hakuna kali la Mwislam, sana sana wanachojua rost la nguruwe basi , ( sio wote ) hawa wenzangu na mimi ukarimu umezidi ndio maana wanajua sana art hii ya jikoni, mimi kwa kawaida htel sili labda Pizza maana wife yuko fit kweli kweli idara zote
 
Kuna ki restaurant hapa arusha kinaitwa mwambao kinamilikiwa na wazenji kuna pilau mbuzi haijawahi kutokea, hapa kesho Christmas nina mpango wa ku lunch pale
Ni pilau inayosifika zaidi hapa arusha
Watu wa pwani wanajua kupika sababu maeneo yao kuna spices nyingi na wamekuwa nazo wanafahamu kuzitumia vizuri
Bila kusaha CAFE LAAZIZI na KULAAN RESTAURANT mkuu
 
Mimi ni Mkristo!

Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa in INAJAA MOSHI NA MAJIVUayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zsa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!

Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
KILA ENEO DUNIANI LINA UPISHI LILILOBOBEA KM WATALIANO NI WAZURI SANA KWA MAPISHI HUKO ULAYA. KWETU HAPA NYAMA CHOMA NA MTORI KASKAZINI.MENGINE ONGEZEA HAO UNAOSEMA WANAJUA KUKALANGA WAELEZE WAKUPIKIE MTORI AU WAKUCHOMEE NYAMA PTUU
 
Mimi ni Mkristo!

Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!

Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?

Utamu wa chakula mate yako.

Hawajui kupika chakula cha nani?

Unataka wapike chakula unavyotaka wewe ndipo useme wanajua kupika? Kweli dini yenu ni ya kipumbavu iliyojaa ubinafsi na upofu. Huwezi kujiweka wewe kuwa mate yako ndiyo kipimo cha utamu wa chakula.

BTW, kwa makamasi yako unayotumia kufikiria ni dhahiri wewe unatatizo na Wakristo. Wakristo siyo kiwango chako wwe. Ukome kuwalinganisha Wakristo na miabudu shetani. Nenda kalinganishe chakula kwa makabila, au imani za kishetani kama hiyo yako. Ukome kufanya vita na Kristo kwa sababu hutamweza.

Koma kabilsa na usirudie. Kwa sabbu dini yako imejikita kwenye kula, hadi mnachinja Mchungaji kwa sababu amehubiri kwamba Wakristo wachinje wanyama na wale wenyewe, tafuta imani mfu kama yako ndipo ulinganishe. Koma tena kaa mbali na Wakristo siyo kiwango chako.
 
Ni kweli lakini ukichunguza sana hata waarabu wameiga kutoka india. Baada ya kuiga kutoka india ndio wakatuletea pwani ya Tanzania. Sasa tatizo tunahusisha uarabu na uislamu. Mimi nimekaa nchi za kiislamu kama Sudan kaskazini, Misri na Muscat. Tena sio mijini. Nilipata nafasi ya kuishi jangwani katika mpaka wa misri na sudan. Kule wanatumia aina ya mkate wanaiata aeshi na nyama na maziwa zaidi. Wanatumia wali lakini nao pia ni wa kufundishwa kupika.

Ukigoogle utaona hivyo vyakula mnavysifia kama pilau, biryani, sambusa, kababu, vyote ni bara hindi. Kwahiyo wapishi ni wahindi. Na ukitaka kuhakikisha angalia idadi ya mahoteli kimataifa katika nchi nyingine duniani ni mangapi ya kihindi, kiarabu na kichina utapata jibu.
 
Back
Top Bottom