Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kawasaidie kupikaMimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Hujakosea mkuuKama kuna ukweli fulani, labda kwa sababu wengine hawana muda wa kusoma elimu dunia basi wanashinda jikoni.
Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Hahahahaha pale kuna jambo ,watu wanaacha vyakula vya wake zao nyumbani..Aisee chakula cha Mwambao ni kitamu balaa sijui wanapika wakiwa uchi? Au pale Cafe la Aziz. Unaweza ukaondoa ratiba ya kula nyumbani.
Amejibu kiushabiki ndio tatizo lake...Waarabu(waislamu) wanamchango mkubwa sana katika dunia ya sayansi na Teknolojia. ..hizo Algorithms zinazo tumika katika laptop zenu zinastem from pioneers katika hizo fields, Al Khwarizmi n.k. Hizo namba unazotumia pekee zinaitwa 'Arabic numerals' na mengine mengi tu. Tusikurupuke jamani
Hahahahaha pale kuna jambo ,watu wanaacha vyakula vya wake zao nyumbani..
Ila sometimes tutasingizia ndumba kumbe ni mapishi tu yameenda shule
Hata pale mlandizi kuna jamaa anapika supu ya mbuzi tamu balaaPale, Turiani Morogoro kuna Mangi mmoja wanamuita Masawe, aisee jamaa kwa kupika Supu ya mbuzi kali ni balaa... Sijui anaweka nini hiyo Supu yake maana ni so delicious...